park don
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 4,923
- 7,048
UmetishaKorosho mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmetishaKorosho mkuu.
BORA wakina RICHMOND SYMBION maisha yalikuwa yana unafuu kuliko huu utawala usio na rushwa watu wanalia kama mbwa mtaani.
Masoko ya hizo nchi zilizosaini yatajaa bidhaa za Kenya. Na Kenya kwenyewe zitajaa bidhaa za Kenya
Huu uwoga kwa Wakenya huwa mtamu sana...
Hahaaa! Sio uwoga juu ya watu fulani. Ni suala la kutathmini maslahi mapana ya taifa, kupanga na kuchagua. Hatimaye jana UK imejitoa rasmi EU kwa kusaini mikataba mipya ya kibiashara. Hajaogopwa mtu hapo, yamewekwa mbele maslahi ya taifa lao. Na hilo ni jambo la kawaida kabisa.
Mkuu mkataba hauko hivyo unavyodhani, ni AU agreement ilihitajika nusu ya nchi za Afrika kuridhia ili mkataba uwe implemented kwa bloc nzima ni kama WTO inavyooperate na ukianza utalazimika kufuata mashariti whether you like or not.Sioni Nigeria
Sioni Drc
Hapo masoko ya maana ni South Afrika, Ethiopia na Egypt..
Kama hata Zambia hawapo sioni big deal ..
www.un.org
Sasa kwa muungano wa mataifa 54 ya Afrika mbona utaje bidhaa za Kenya tu kama sio uwoga kwa Wakenya.
Madhara ya kuongozwa na kichaa ndio hayo sasa.Nchi za Afrika zilizosaini mkataba wa African Continental Free Trade Area (AfCFTA) leo 1/1/2021 zinaanza kufanya Biashara bila vikwazo. Katika eneo la Afrika Mashariki ni Tanzania na Burundi pekee ambao hawamo katika Eneo Huru la Biashara, ina maana bidhaa za Kenya kwenda Rwanda au DRC hazitatozwa ushuru wa forodha wakati bidhaa za Tanzania zitatozwa.
Nini athari zake.
Mkuu Quinine japo una make sense lakini nakupinga kwny hoja moja.Mkuu mkataba hauko hivyo unavyodhani, ni AU agreement ilihitajika nusu ya nchi za Afrika kuridhia ili mkataba uwe implemented kwa bloc nzima ni kama WTO inavyooperate na ukianza utalazimika kufuata mashariti whether you like or not.
Soma zaidi kwenye hii link.
![]()
The African Continental Free Trade Area Agreement – what is expected of LDCs in terms of trade liberalisation? By Trudi Hartzenberg, Executive Director, Trade Law Centre (tralac) and member of the Committee for Development Policy (CDP) | LDC Portal
August 2019. The fifty-five member states of the Africa Union (AU) are establishing the African Continental Free Trade Area (AfCFTA) to create a singlewww.un.org
Mkuu Quinine japo una make sense lakini nakupinga kwny hoja moja.
Anachomaanisha The Boss ni kuwa japo umeanza kuoperate, kuna nchi muhimu haziimplement hivyo tija hakuna sana kwa upande wetu.
Na hoja yake ni sahihi kwasbb kwa mfano Tanzbmania inafuata Dualism sio monism. Hivyo hapo ilisign mkataba, ilikua ni lazima tudomesticate ili tuwe bound.
Maana yake ni kuwa hizo trade offs na custom rules haziapply kwa Tanzania na nchi alizozitaja
Anyway, Sijui hata kama nimeeelweka maana mi mwnyw nimeandika halafu mwishoni najiuliza sjui nimeandika nini hiki.[emoji23][emoji23]
Utitili wa mashirikisho ya kiuchumi Ni sehemu ya Majanga barani Afrika, mfano EAC Ina matatizo kibao, AU, SADC nazo vilevile. Tulitakiwa tuboreshe hayo mashirikisho kwanza.Nchi za Afrika zilizosaini mkataba wa African Continental Free Trade Area (AfCFTA) leo 1/1/2021 zinaanza kufanya Biashara bila vikwazo. Katika eneo la Afrika Mashariki ni Tanzania na Burundi pekee ambao hawamo katika Eneo Huru la Biashara, ina maana bidhaa za Kenya kwenda Rwanda au DRC hazitatozwa ushuru wa forodha wakati bidhaa za Tanzania zitatozwa.
Nini athari zake
Sijaona mahali aliposhangilia. Its just tu ww huna sense of humor. Mtu kuitaja tanzania unaona kuwa ameshangilia.Anapoilinganisha Tanzania na Kenya anamaanisha nini kwa mfano?
Ina maana hatuna viwanda?Tutaexport nn!? Bora tusiwepo tu