Lushoto kuna hali kam hyo
itakuwa -Ulaya. Kwa bongo hapo ungeona Nyumba za kawaida
nakazia hapaAkiingia mweusi tegemea wizi (inabidi kujenga ukuta)
Wewe baki hapohapo kaweUkienda uko utaanzisha kibanda cha Mpesa, mara uanze kuuza mkaa hapo nje, uende na san lg yako uanze kupiga boda, ufungue kijiwe cha kahawa, ubandike matangazo ya dalali na freemason.. kwisha kamji ka watu umeshakaharibu.
We tubaki manzese hapa hapa.
Nini cha ajabu, hayo majani yaliyofyekwa? Na wewe si ufyeke porini kwenu pawe hivyo?
Njoo Sumbawanga sehemu moja inaitwa Ilemba ,