mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Kama ilivyokuaga Salenda pale darajani sasa uhalifu umehamia Jangwani ikifika usiku saa 5 na kuendelea si eneo salama kupita hasa ukiwa na pikipiki, kuna wezi na vibaka wenye silaha na wasio na huruma.
Eneo lile pana giza zito na hakuna ulinzi wa aina yoyote mida hiyo hali inayopelekea wahalifu kujitawala kwa masaa mpaka asubuhi na bila kupata upinzani wowote kutoka vyombo vya Ulinzi.
Tayari matukio kadhaa yameripotiwa lakini hakuna hatua zozote zilizo chukuliwa mpaka sasa