Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Wanaume wa Dar hamuwezi kuunda patrol yenu wenyewe Kwa kuchagua?
Mbona sisi hili Huwa hatutegemei police. Mnakipi Cha kujitofautisha na wake zenu Sasa kama vibaka tu wanawapa taharuki kiasi hiki?