Eneo la Jangwani ni tishio kwa usalama kuanzia mida ya saa 5 usiku na kuendelea

Eneo la Jangwani ni tishio kwa usalama kuanzia mida ya saa 5 usiku na kuendelea

Huna akili

Issue ndiyo imeripotiwa na huenda haijatufikia mamlaka husika, umeanza kutoa uharo wako wa dagaa mchele
Kwa maandiko yako haya inadhihirisha mimi na wewe nani kati yangu hana akili......

Kauli yako hii inadhihirisha kuwa namna gani serikali yetu imejaza vichaa na wendawazimu......
 
Kulikuwa na kituo cha polisi hapo kati kati jangwani.sijui ikawaje sasa hivi hamna.
Miaka nipo mdogo hapo jangwani niliona mtu anakabwa mchana kweupe mimi napita pembeni.na hakuna wa kumsaidia.
 
Kulikuwa na kituo cha polisi hapo kati kati jangwani.sijui ikawaje sasa hivi hamna.
Miaka nipo mdogo hapo jangwani niliona mtu anakabwa mchana kweupe mimi napita pembeni.na hakuna wa kumsaidia.
Nawe ndo wale waleee yan ulishindwa hata kuokota jiwe upige mwiziii
Dahh its so sad.

Ndo matunda mnavuna sasa
 
Siwezi kudhubutu kupita bonde la Jangwani au bonde la Mkwajuni usiku kwa miguu. Miji mingi duniani ina "no go areas" kwa mida flani
 
Labda wangesikia chadema wanamkutano Jangwani wangefik na Silaha chapu tu
 
Hapo polisi inabidi waweke Doris kama pale salender

Tatizo linakuja mpaka afanywe kitu mbaya mtoto, mke, ndugu wa kigogo ndiyo wTaweka Doria

Wengi wanaoporwa ni raia wa kawaida tu hawana chochote

Ova
Hao vibaka inatakiwa watekwe,halafu akili zao zitawarudia wataambiana, badala ya kuwateka wanasiasa!!!
 
Back
Top Bottom