Du hatari snKama ilivyokuaga Salenda pale darajani sasa uhalifu umehamia Jangwani ikifika usiku saa 5 na kuendelea si eneo salama kupita hasa ukiwa na pikipiki, kuna wezi na vibaka wenye silaha na wasio na huruma.
Eneo lile pana giza zito na hakuna ulinzi wa aina yoyote mida hiyo hali inayopelekea wahalifu kujitawala kwa masaa mpaka asubuhi na bila kupata upinzani wowote kutoka vyombo vya Ulinzi.
Tayari matukio kadhaa yameripotiwa lakini hakuna hatua zozote zilizo chukuliwa mpaka sasa
Pamoja na ulinziMwananchi anapolalamika ni amri kwa serikali
Lazima waweke mataa na ulinzi pia
Huu ndiyo ujinga wa nchi yetuHapo polisi inabidi waweke Doris kama pale salender
Tatizo linakuja mpaka afanywe kitu mbaya mtoto, mke, ndugu wa kigogo ndiyo wTaweka Doris
Wengi wanaoporwa ni raia wa kawaida tu hawana chochote
Ova
Nilikuwa natoka kwa macheni enzi hizo usiku mkali, natembea kurudi chuoni DIT alafu alone tu 😃😃..Hapo polisi inabidi waweke Doris kama pale salender
Tatizo linakuja mpaka afanywe kitu mbaya mtoto, mke, ndugu wa kigogo ndiyo wTaweka Doris
Wengi wanaoporwa ni raia wa kawaida tu hawana chochote
Ova
SubhanAllah!😎Kama ilivyokuaga Salenda pale darajani sasa uhalifu umehamia Jangwani ikifika usiku saa 5 na kuendelea si eneo salama kupita hasa ukiwa na pikipiki, kuna wezi na vibaka wenye silaha na wasio na huruma.
Eneo lile pana giza zito na hakuna ulinzi wa aina yoyote mida hiyo hali inayopelekea wahalifu kujitawala kwa masaa mpaka asubuhi na bila kupata upinzani wowote kutoka vyombo vya Ulinzi.
Tayari matukio kadhaa yameripotiwa lakini hakuna hatua zozote zilizo chukuliwa mpaka sasa
Waweke jua "twende tuu seven" hadi giza lione aibu.Waondoe lile giza pale uhalifu utaisha
Alimpeleka mgonjwa sibitali.Saa tano unatoka wapi ,unaenda wapi,huo ni muda wa kutafuta watoto na shemeji yenu
Hapo sawaAlimpeleka mgonjwa sibitali.
And,the fella wasn't aware of the awareness!Astonishing!🤔Hapo sawa
subiri siku yakukute una ndugu unauguza muhimbili halafu huna ela unatumia boda halafu waweke wayaSaa tano unatoka wapi ,unaenda wapi,huo ni muda wa kutafuta watoto na shemeji yenu
Eneo ninaloishi sihitaji kupita jangwani kwenda muhimbilisubiri siku yakukute una ndugu unauguza muhimbili halafu huna ela unatumia boda halafu waweke waya
Jangwani ipi bosi??? Wengine sisi ni wa Mtwara. Pia usema eneo lipi hasa hiyo jangwani maana jangwani ni kubwa.Kama ilivyokuaga Salenda pale darajani sasa uhalifu umehamia Jangwani ikifika usiku saa 5 na kuendelea si eneo salama kupita hasa ukiwa na pikipiki, kuna wezi na vibaka wenye silaha na wasio na huruma.