Eneo la Jangwani ni tishio kwa usalama kuanzia mida ya saa 5 usiku na kuendelea

Hivi kwa mtu kama mimi ambaye nipo Laela; Sumbawanga, hiyo Jangwani unayoongelea Iko wapi? Hata polisi wa hapa wakitaka kurejea masuala yao ya ulinzi watafanyeje? Manake ilivyoandikwa utafikiri Jangwani imetanda nchi nzima kuanzia Salenda, ingawa pia haiujulikani Salenda Iko wapi nchi hii. Hizi akili na uandishi mbovumbovu mtaacha lini JF?
 
Hilo eneo mazingira yake tu yanavutia uhalifu.

I thought kuna taa pale au usiku haziwaki?
 
Na inasemekana kikundi Cha kamanda mafwele amekihamishia hapo jangwani
 
Sasa mbona hii ni hatari sana
 
Hapo polisi inabidi waweke Doris kama pale salender

Tatizo linakuja mpaka afanywe kitu mbaya mtoto, mke, ndugu wa kigogo ndiyo wTaweka Doris

Wengi wanaoporwa ni raia wa kawaida tu hawana chochote

Ova
Hizi keyboard zenye predictive na auto correction Zina changamoto. Zinabadili maneno kutegemea unachat mara nyingi na nani. Unaandika Doria zanalazimisha uandike Doris. Unaweza Kuta zinafichua jina lako au mtu wako. Hazifanyi Vizuri sometimes.
 
Hizi keyboard zenye predictive na auto correction Zina changamoto. Zinabadili maneno kutegemea unachat mara nyingi na nani. Unaandika Doria zanalazimisha uandike Doris. Unaweza Kuta zinafichua jina lako au mtu wako. Hazifanyi Vizuri sometimes.
Doria

Ova
 
Mwananchi anapolalamika ni amri kwa serikali
Lazima waweke mataa na ulinzi pia
Hapo mpaka aumizwe kigogo au ndugu,mtoto wa kigogo kama tukio lililotokea salender mke wa fulani aluonjeshwa joto la jiwe
Mpaka sasa pale kuna ulinzi umewekwa

Ova
 
Hapo mpaka aumizwe kigogo au ndugu,mtoto wa kigogo kama tukio lililotokea salender mke wa fulani aluonjeshwa joto la jiwe
Mpaka sasa pale kuna ulinzi umewekwa

Ova
Sio sawa, yaani mpaka tukio
Kuna mambo mengine mbona yako wazi
Tunajua dunia nzima crime zipo ila tahadhari na usalama wa wananchi ni lazima
Haya ndio ya kuyapigia kelele mpaka kieleweke
 
Nchi hii bhana walipa kodi tunaonekana kama makatuni kwa watawala....pale mpaka akabwe mtoto wa kigogo ndio hatua zitachukuliwa.....maana kwenye macho ya vyombo vya dola sisi walalahoi tunaonekana kama kenge tu.........
Huna akili

Issue ndiyo imeripotiwa na huenda haijatufikia mamlaka husika, umeanza kutoa uharo wako wa dagaa mchele
 
Hii ipo tangu siku nyingi na no aibu maana pale ni mjini kabisa
 
Saa 5 usiku unspita hapo ili iweje?
 
Ni watoto wetu tumewalea wenyewe so tuwadhibiti wenyewe lawama hazitasaidia.

Mnaopita unganeni muwatokomezeeee
 
Hiyo sehemu ni hatari ukikabwa hakuna wa kukusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…