KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Kwa maandiko yako haya inadhihirisha mimi na wewe nani kati yangu hana akili......Huna akili
Issue ndiyo imeripotiwa na huenda haijatufikia mamlaka husika, umeanza kutoa uharo wako wa dagaa mchele
Tutalifanyia kaziKwa maandiko yako haya inadhihirisha mimi na wewe nani kati yangu hana akili......
Kauli yako hii inadhihirisha kuwa namna gani serikali yetu imejaza vichaa na wendawazimu......
Nawe unakabaaaHiyo sehemu ni hatari ukikabwa hakuna wa kukusaidia
Nawe ndo wale waleee yan ulishindwa hata kuokota jiwe upige mwiziiiKulikuwa na kituo cha polisi hapo kati kati jangwani.sijui ikawaje sasa hivi hamna.
Miaka nipo mdogo hapo jangwani niliona mtu anakabwa mchana kweupe mimi napita pembeni.na hakuna wa kumsaidia.
Weeeee wajilinde peke yaoooooooo maana hata katiba inawataka wafanye hivyoPolisi waweke kambi hapo tu
Ova
Hao vibaka inatakiwa watekwe,halafu akili zao zitawarudia wataambiana, badala ya kuwateka wanasiasa!!!Hapo polisi inabidi waweke Doris kama pale salender
Tatizo linakuja mpaka afanywe kitu mbaya mtoto, mke, ndugu wa kigogo ndiyo wTaweka Doria
Wengi wanaoporwa ni raia wa kawaida tu hawana chochote
Ova