Eneo la mita 15 kwa 8 linatosha kujenga nyumba ya ghorofa moja?

Eneo la mita 15 kwa 8 linatosha kujenga nyumba ya ghorofa moja?

Ni issue ya Technolojia Tu.Hizo ni 120 SQM.Kule kwetu Hong Kong na South Korea unapandisha ghorofa Safi.Hapa TZ kuanzia architect Hadi Engineer watakuzingua kwamba halitoshi.Miaka ya 90 usingeamini kama vile Viwanja Vidogo vya Karikaoo vingetosha Kujenga ghorofa.Lakini leo tazama yamejengwa.Tembea uone.
 
Ilikua zamani sasa hivi zipo. Mikocheni kuna sehmu mtu kajenga ghorofa za cubes vizuri tu
 
Kwahiyo unabishana na engineer mkuu wa serikali. 😡😡😡
Hili sio suala la ubishi bali facts. Ww ni engineer wa nn? Inaweza kuwa software engineer maana sio kila engineer ni civil engineer
Twende kwa facts sasa. Mm nasema inatosha na mchoro nakuletea na mifano ilipofanyika hapa bongo nakuletea
 
1718077945760.jpg
 
Kunasehemu nilisoma chumba kidogo Small size(at least) ni 3 x 3. Kwa eneo la 15 kwa 8 . Utajenga vizuri sana kisasa. Japo sielewi 😂😂
Hizo standard sio universal, ni mtu anaamua japo standard universal zipo. Kwa international resedential code ni 2.4m kwa 3m

Kwa eneo la 15 kwa 8 kwa kutumia ghorofa za cubes unapata vyumba vya kutosha tu
 
Back
Top Bottom