MoseeYM
Senior Member
- Jul 19, 2021
- 144
- 199
Unachanganya na futi Mkuu ππ.Mita 8?? Hiyo si saizi ya kitanda mkuu?? πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachanganya na futi Mkuu ππ.Mita 8?? Hiyo si saizi ya kitanda mkuu?? πππ
Kama hii inweza kufikia ngapi gharama yake?
We jamaa, Duniani hakuna kitanda mita 8,Mita 8?? Hiyo si saizi ya kitanda mkuu?? πππ
Ndio linaweza, kulingana na aina ya ghorofa unayoitaka
Labda iwe na mkao wa pia, itoke ndogo chini ikatanukie juuWataalamu na mainjinia majibu tafadhali.
Hilo eneo linatisha.Mita 8?? Hiyo si saizi ya kitanda mkuu?? πππ
Hiyo ni 120 square meters. Mimi natarajia kujenga ghorofa moja ya 96sqm. Pia kuna ghorofa moja ya 76sqm nimeona ya 2 rooms.Wataalamu na mainjinia majibu tafadhali.
Asante kwa kumuelewesha kutofautisha vipimo.Hilo eneo linatisha.
Tofautisha kati ya futi na mita.
Cha muhimu ni mchoro tu.
Mita nane utalinganishaje na kitanda?
Watu wengi huto maoni bila kujua uhalisia. Bora muwe mnawaweka sawa kama hiviHiyo ni 120 square meters. Mimi natarajia kujenga ghorofa moja ya 96sqm. Pia kuna ghorofa moja ya 76sqm nimeona ya 2 rooms.
Eneo linatosha kabisa,ila hautakuwa na sehemu kubwa iliyo baki. Ila sehemu ya gari kupaki itapatikana bila wasiwasi.
Asante
Labda kitanda cha Goliath πHilo eneo linatisha.
Tofautisha kati ya futi na mita.
Cha muhimu ni mchoro tu.
Mita nane utalinganishaje na kitanda?
Nadhani kuna tatizo la kutofautisha vipimo. Wengi wanashindwa kutofautisha kati ya futi na mita.Mwenzio mita anajua futi