Eneo la mita 15 kwa 8 linatosha kujenga nyumba ya ghorofa moja?

Eneo la mita 15 kwa 8 linatosha kujenga nyumba ya ghorofa moja?

mansionfinders-04-08-2024-0001.jpg
 
Kinumbo ,nadhani kiuhalisia mimi ni muumini wa panya ila naomba uheshimu thread yangu.
Nimepost hapa kwa ajili ya ma expert mainjinia competent wanaojua habari za jometri haswaa siyo wewe uliyesoma memkwa pengine ukafeli.
Kupitia thread hii wengine wanajifunza na kuona kuwa jambo hili linawezekana.
Space utilisation ndiyo inayofanya tuwaze haya.
 
Wataalamu na mainjinia majibu tafadhali.
Hiyo ni 120 square meters. Mimi natarajia kujenga ghorofa moja ya 96sqm. Pia kuna ghorofa moja ya 76sqm nimeona ya 2 rooms.

Eneo linatosha kabisa,ila hautakuwa na sehemu kubwa iliyo baki. Ila sehemu ya gari kupaki itapatikana bila wasiwasi.
Asante
 
Watu wengi huto maoni bila kujua uhalisia. Bora muwe mnawaweka sawa kama hivi
 
Back
Top Bottom