Eneo la mita 15 kwa 8 linatosha kujenga nyumba ya ghorofa moja?

Eneo la mita 15 kwa 8 linatosha kujenga nyumba ya ghorofa moja?

Hili sio suala la ubishi bali facts. Ww ni engineer wa nn? Inaweza kuwa software engineer maana sio kila engineer ni civil engineer
Twende kwa facts sasa. Mm nasema inatosha na mchoro nakuletea na mifano ilipofanyika hapa bongo nakuletea

Endelea kubishana
 
Hizo standard sio universal, ni mtu anaamua japo standard universal zipo. Kwa international resedential code ni 2.4m kwa 3m

Kwa eneo la 15 kwa 8 kwa kutumia ghorofa za cubes unapata vyumba vya kutosha tu
Kuna pdf ya Arch Certified kina size za room mbalimbali ndo nimeitoa hiyo Small size ya 3m kwa 3m. Bedroom ya 2.4 m kwa 3 m Hizi za kizungu sana? Chumba ni kulala tu sasa😪
Anyway sio field yangu ila Katika ujenzi tu nikapata mwanga huo
 
Kuna pdf ya Arch Certified kina size za room mbalimbali ndo nimeitoa hiyo Small size ya 3m kwa 3m. Bedroom ya 2.4 m kwa 3 m Hizi za kizungu sana? Chumba ni kulala tu sasa😪
Anyway sio field yangu ila Katika ujenzi tu nikapata mwanga huo
Yes, ndio maana nikasema sio universal. Kuna nchi zipo zaidi ya hapo na kuna nchi zipo chini ya hapo
 
Wewe ni muha yaani unakuwa mbishi hivi shule yako umeishia la ngapi.
Sikutaka tubishane kwa maneno matupu bali twende kwa facts kwa nn unasema haitoshi ikiwa design za ghorofa zipo za aina nyingi

Kuhusu shule yangu ww iache tu
 
Wataalamu na mainjinia majibu tafadhali.
Inategemea unajengea wapi. Kama ni eneo la kupimwa, utatakiwa angalau kuacha mita 1.5 na nusu kila upande na hivyo utabaki na upana wa mita 5 za kujenga. Kwa mbele utatakiwa kuacha mita 3 na nyuma mita 1.5 hivyo utabaki na mita 10.5 za kujenga. Nafasi yako ya kujenga itakuwa mita 5 kwa 10.5. Hizi zinatosha kabisa kujenga ghorofa. Changamoto utakayokuwa nayo ni ujenzi wa septic tank na soak pit ambazo kwa kweli nafasi iliyobaki haitoshi. Unachoweza kufanya ni kuinyanyua yote kwa nguzu na kuanza kukata vyumba kuanzia ghorofa ya kwanza. Hiyo nafasi ya chini ya unaweza kuweka septic tank na soak pit yako. Na hata gari unaweza kupaki.

Amandla...
 
Back
Top Bottom