MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,184
- 5,435
Ilikua zamani sasa hivi zipo. Mikocheni kuna sehmu mtu kajenga ghorofa za cubes vizuri tuNi issue ya Technolojia Tu.Hizo ni 120 SQM.Kule kwetu Hong Kong na South Korea unapandisha ghorofa Safi.Hapa TZ kuanzia architect Hadi Engineer watakuzingua kwamba halitoshi.Miaka ya 90 usingeamini kama vile Viwanja Vidogo vya Karikaoo vingetosha Kujenga ghorofa.Lakini leo tazama yamejengwa.Tembea uone.
Sio kweli. Linatosha vizuri SanaHilo eneo dogokww matumizi ya ghorofa, fanya meter 22 kwa 20.
Kwahiyo unabishana na engineer mkuu wa serikali. π‘π‘π‘Sio kweli. Linatosha vizuri Sana
Labda kama kuna design nyingine anafikiria. Ghorofa sio lazima ziwe kama zile unaona masaki, design zipo nyingi
Hili sio suala la ubishi bali facts. Ww ni engineer wa nn? Inaweza kuwa software engineer maana sio kila engineer ni civil engineerKwahiyo unabishana na engineer mkuu wa serikali. π‘π‘π‘
Kitanda mita 8 analala tembo? Na familia yake? ,πMita 8?? Hiyo si saizi ya kitanda mkuu?? πππ
Nashangaa sana mnaoshangaa ghorofa ndani ya mita nane. Mnaishi wapi? Hamna exposure? Mbona ni vitu simple sanaMita 8?? Hiyo si saizi ya kitanda mkuu?? πππ
πΉπΉπΉ Panya na ghorofa vinahusiana nini??Mkuu endelea kula panya tu
Hizo standard sio universal, ni mtu anaamua japo standard universal zipo. Kwa international resedential code ni 2.4m kwa 3mKunasehemu nilisoma chumba kidogo Small size(at least) ni 3 x 3. Kwa eneo la 15 kwa 8 . Utajenga vizuri sana kisasa. Japo sielewi ππ