Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
Hili sio suala la ubishi bali facts. Ww ni engineer wa nn? Inaweza kuwa software engineer maana sio kila engineer ni civil engineer
Twende kwa facts sasa. Mm nasema inatosha na mchoro nakuletea na mifano ilipofanyika hapa bongo nakuletea
Nilidhani utaweka factsEndelea kubishana
Hii yenyewe inakaa vizuri kwenye 15 kwa 8 na hapo hiyo veranda(canopy) anaweza ipunguza au kuitoa
wewe ni shabiki wa chama gani CCM au CHADEMA tuanzie hapo kwanza. ππππNilidhani utaweka facts
Mm sibishi kitu nisichokijua vizuri
Hii haina umuhimu kwenye masuala yanayohitaji factswewe ni shabiki wa chama gani CCM au CHADEMA tuanzie hapo kwanza. ππππ
Jibu swali kaka ndiyo facts zenyewe πππππHii haina umuhimu kwenye masuala yanayohitaji facts
Twende kwenye siasa bro huko tutajuana vizuri, huku hakuna siasaJibu swali kaka ndiyo facts zenyewe πππππ
Kuna pdf ya Arch Certified kina size za room mbalimbali ndo nimeitoa hiyo Small size ya 3m kwa 3m. Bedroom ya 2.4 m kwa 3 m Hizi za kizungu sana? Chumba ni kulala tu sasaπͺHizo standard sio universal, ni mtu anaamua japo standard universal zipo. Kwa international resedential code ni 2.4m kwa 3m
Kwa eneo la 15 kwa 8 kwa kutumia ghorofa za cubes unapata vyumba vya kutosha tu
Wewe ni muha yaani unakuwa mbishi hivi shule yako umeishia la ngapi.Twende kwenye siasa bro huko tutajuana vizuri, huku hakuna siasa
Sure.Hii yenyewe inakaa vizuri kwenye 15 kwa 8 na hapo hiyo veranda(canopy) anaweza ipunguza au kuitoa
Yes, ndio maana nikasema sio universal. Kuna nchi zipo zaidi ya hapo na kuna nchi zipo chini ya hapoKuna pdf ya Arch Certified kina size za room mbalimbali ndo nimeitoa hiyo Small size ya 3m kwa 3m. Bedroom ya 2.4 m kwa 3 m Hizi za kizungu sana? Chumba ni kulala tu sasaπͺ
Anyway sio field yangu ila Katika ujenzi tu nikapata mwanga huo
Mr likes, Canopy ndio hicho kimebebwa na Veranda?π
Sikutaka tubishane kwa maneno matupu bali twende kwa facts kwa nn unasema haitoshi ikiwa design za ghorofa zipo za aina nyingiWewe ni muha yaani unakuwa mbishi hivi shule yako umeishia la ngapi.
au kaburi la ghorofa labdaMita nane?
Yeah ,mbona umeshangaaMr likes, Canopy ndio hicho kimebebwa na Veranda?π
Mwenzio mita anajua futiKitanda mita 8 analala tembo? Na familia yake? ,π
Chumba kikubwa kina mita 4, hiyo mita nane utajenga chumba kimoja na choose pembeni iliibakie sehem ya kuanika nguo nne kwa sikuWataalamu na mainjinia majibu tafadhali.
Inategemea unajengea wapi. Kama ni eneo la kupimwa, utatakiwa angalau kuacha mita 1.5 na nusu kila upande na hivyo utabaki na upana wa mita 5 za kujenga. Kwa mbele utatakiwa kuacha mita 3 na nyuma mita 1.5 hivyo utabaki na mita 10.5 za kujenga. Nafasi yako ya kujenga itakuwa mita 5 kwa 10.5. Hizi zinatosha kabisa kujenga ghorofa. Changamoto utakayokuwa nayo ni ujenzi wa septic tank na soak pit ambazo kwa kweli nafasi iliyobaki haitoshi. Unachoweza kufanya ni kuinyanyua yote kwa nguzu na kuanza kukata vyumba kuanzia ghorofa ya kwanza. Hiyo nafasi ya chini ya unaweza kuweka septic tank na soak pit yako. Na hata gari unaweza kupaki.Wataalamu na mainjinia majibu tafadhali.