Eneo la Siri la Serikali (ESS) pokea mtazamo wa Kalooism kuhusu madaraja ya hapa kazi tu

Eneo la Siri la Serikali (ESS) pokea mtazamo wa Kalooism kuhusu madaraja ya hapa kazi tu

majanga tu. unajaza supervisor hakufanyii assessment so unabak hupand alama .
Ndo maana tunawaasa viongozi ngazi ya juu Waone namna bora ya kuwa na mfumo shirikishi wa wadau wote katika mwenendo unaozingatia usawa katika kazi,si upendeleo ila hizo data ziwe zinajijaza automatic kwenye mfumo,kama ni wizara iwe na taarifa rasmi za kazi(mbona kile kisima kilichopotea kishirikina tuliambiwa live,si yangemkuta mtumishi?) za mwaka mzima za taasisi zake na ratiba inayozingatia usawa wa watumishi wa kila taasisi katika mgawanyo wa majukumu,hasa yale ya sites.
 
Na bado hadi mteme dagaa au maji muite mma
Hata hatutemi dagaa!!Tutaitaje maji mma kama historia inakiri wazi mabadiliko ni suala la asili ya maumbile?Tukishindwa sisi watafanya wanetu,wakishindwa hao watakuja wajukuu. Mfano Mirengo hii ilivyokuwa; Ukabaila >Ubepari>ubeberu au ujima>ujamaa>ukomunisti ama katika nyanja za mifumo ya fikra huru ipo historia ya kuwa na formal independence >Freedom>liberty.Kwa hiyo Afrika bora itajengwa kwa Uhuru wa nafsi(Complete independence =Freedom+Liberty) dhidi ya mifumo kandamizi ya kifikra iliyopandikizwa ndani ya mioyo ya watu na watu walioamini mda wote mtu ataishi kwa Kutema dagaa tu,Na jamii ya Afrika kwa mahaba makubwa ikaamini wakila wao  inatosha( eti sisi tusubili pale tukifa huko mbinguni tutaruzukiwa mavitu mazuri mazuri na wanawake wa kupendeza mioyo yetu na mito inayotema maziwa na asali).No, hatutaki, machaguo hayo siyo sahihi,tunataka uhuru wa nafsi tungali hapa!tukiwa na huo hatutashikwa mkono na mtu twende basi rafiki mbinguni,tutaona live hiyo mbingu yenyewe.
Na bado hadi mteme dagaa au maji muite mma
 
Back
Top Bottom