USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
Chini ya uwakilishi wa mbunge wa jimbo la biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa mamlaka ya maji biharamulo imefanikiwa kuanzisha vituo vya utekaji maji katika vijiji vitano .
Zoezi hili litafanyika huku wilaya ya biharamulo ikiwa inasubiri mradi mkubwa wa maji wa ziwa victoria
Wananchi ambao ndio wapiga kura wamesogezewa huduma ya maji karibu na makazi yao kwenda sambamba sa sera ya Mhe Rais Samia Suluhu Hasan ya kumtua mama ndoo kichwani .
Vijiji vya kagondo,kabindi, kasuno,nyabugombe na katerela vimenufaika na mradi huo ambapo katika kituo hicho wananchi watakwenda kuchoka maji katika vituo vikivyo jengwa kisasa na kutoa maji safi na salama karibu na makazi yao .
Biharamulo inamuhitaji sana Eng Ezra Chiwelesa
AKIAHIDI ANATEKELEZA KUWA SHAHIDI