Eng Hersi aambiwe ukweli Yanga kuna wachezaji mizigo

Eng Hersi aambiwe ukweli Yanga kuna wachezaji mizigo

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Mchezaji Kama Bigirmana, Makambo na Kisinda sio wachezaji wa kucheza Yanga

Naomba dirisha dogo Hawa wachezaji waondoke haraka ni takataka

Lomalisa watu wanamponda lakini kwangu Mimi ndiye beki Bora namba 3 akiaminiwa na kupewa mechi

Football ni namba mpaka sasa ana assist mbili ni beki gani wa kushoto kwenye Ligi yetu mwenye assist mbili nitajieni

Halafu ndiye beki wa kushoto aliyecheza dakika chache.

Pls yanga sio ya kulea wachezaji mizigo Kama Bigirmana, Makambo na Kisinda.
 
Katika wote Makambo limebaki jina tu, awezi kutuliza mali, kupiga pas mtihan, kufunga kwake ni ugonjwa.....

Nadhan scouting ya Yanga isiishi kwa mazoe wabadili mfumo wao..... Sikuona maana ya kumwacha Saido na kuja na Birigimana au kisinda au kambole
 
Kuna wachezaji wawili wana uhakika Yanga hata iweje.

1. Tuisila Kisinda (Sababu alimkimbiza Onyango)
2. Aziz Ki (Goli dhidi ya Manula, ingawa huyu ni mwamba anahitaji muda zaidi lakini hata asipofanya makubwa lile goli litaendelea kumpa maisha Yanga)

Pro wengine wenye maisha Yanga ni Mayele, Morrison, Diara na Bangala. Hawa jamaa wanajua.

Pro wengine waliobakia wauzwe tu.
 
Masikini kisinda

Tulimleta ili amiimbize babu onyango sasa anakmbia mwenyewe hovyo kama kuku aliekatwa kichwa.
D21219D4-9A5B-4C8A-9E56-BD54AB22D438.jpeg
 
Masikini kisinda
Tulimleta ili amiimbize babu onyango sasa anakmbia mwenyewe hovyo kama kuku aliekatwa kichwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sio mizigo tu ni mizigo ya mavi
 
Maskini kiberenge kisinda
Kisinda alirudishwa kwasababu alisababisha penalty kwenye derby ila hana cha ziada ndio maana tunasema soka letu kivyetu vyetu.
 
Kuna wachezaji wawili wana uhakika Yanga hata iweje.

1. Tuisila Kisinda (Sababu alimkimbiza Onyango)
2. Aziz Ki (Goli dhidi ya Manula, ingawa huyu ni mwamba anahitaji muda zaidi lakini hata asipofanya makubwa lile goli litaendelea kumpa maisha Yanga)

Pro wengine wenye maisha Yanga ni Mayele, Morrison, Diara na Bangala. Hawa jamaa wanajua.

Pro wengine waliobakia wauzwe tu.
Hapo umeongea ukweli kabisa bongo ukicheza vizuri mechi ya derby hata kiwango kishuke watakukumbatia tu.
 
Bigirimana ni mgonjwa yule mnataka ajitume afie uwanjani?familia yake utailea weww?
 
Tatizo kubwa la timu za Yanga na Simba ni kwamba kwa miaka mingi ni vilabu mashamba ya bibi kwa watu wengi.

Hao wachezaji wachovu ni miradi ya watu wanakula nao. Haiwezekani wachezaji waliobaki majina tu kama hao eti wawe klabuni na wanalipwa mishahara wakati wamebaki majina tu, ni dili zinapigwa na ndio maana Yanga haiwezi kabisa kufika popote kwenye mashindano ya kimataifa.
 
Back
Top Bottom