Zekoddo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 1,859
- 4,539
Siwezi kukupinga Shabiki Kindakindaki wa Yanga kama ww,, licha ya kuwa Kindakindaki but ulichokinena ni ukweli mtupu.. hakuna siku nimemuona Makambo ni gunia kama Jana, straka linakosa magoli kizembe,, dirisha dogo aachwe kama mwenziwe yule mkongo (nishamsahau jina)