technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Masikini kisinda
Tulimleta ili amiimbize babu onyango sasa anakmbia mwenyewe hovyo kama kuku aliekatwa kichwa
Masikini kisinda
Tulimleta ili amiimbize babu onyango sasa anakmbia mwenyewe hovyo kama kuku aliekatwa kichwa.
View attachment 2402043
Kisinda alirudishwa kwasababu alisababisha penalty kwenye derby ila hana cha ziada ndio maana tunasema soka letu kivyetu vyetu.Maskini kiberenge kisinda
Hapo umeongea ukweli kabisa bongo ukicheza vizuri mechi ya derby hata kiwango kishuke watakukumbatia tu.Kuna wachezaji wawili wana uhakika Yanga hata iweje.
1. Tuisila Kisinda (Sababu alimkimbiza Onyango)
2. Aziz Ki (Goli dhidi ya Manula, ingawa huyu ni mwamba anahitaji muda zaidi lakini hata asipofanya makubwa lile goli litaendelea kumpa maisha Yanga)
Pro wengine wenye maisha Yanga ni Mayele, Morrison, Diara na Bangala. Hawa jamaa wanajua.
Pro wengine waliobakia wauzwe tu.
Wewe ni mzima?Bigirimana ni mgonjwa yule mnataka ajitume afie uwanjani?familia yake utailea weww?
Bigirimana ana shida gani niambie kiufundi maana sijaona sababu ya msingiMakambo Hana jipya asepe
Kisinda nae asepe
Bigirimana asepe.... Full stop.[emoji2955]
Mtu aliyecheza Epl anakuwaga vile?Bigirimana ana shida gani niambie kiufundi maana sijaona sababu ya msingi
Ulitaka apae juu?Mtu aliyecheza Epl anakuwaga vile?
We huwaoni wenzake akina ngolo kante,Ulitaka apae juu?