Eng Hersi aanza Kwa spidi apangua Sheria huko CAF

Wenye akili hapo utopolo wako wawili tu je wewe kwa kujiangalia unaweza kuwa miongoni mwao?
Sifa Moja ya kuwa mchambuzi....ni lazima uwe genius....kukariri wachezaji...kujua indeep mifumo ya soka ..... record na vingine vingi
...

So nadhani unaelewa how genius I'm

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo kati ya kikwete na Baba yake Haji manara ambao hao ndo watu wawili wenye akili hapo utopolo unamtoa nani kwenye nafasi take unakaa wewe? Maana utopolo wenye akili sharti ni wasizidi wawili
 
Vipi hajazungumzia chochote kuhusu wale wanaotolewa hovyo hatua za makundi?
 
Kwahiyo kati ya kikwete na Baba yake Haji manara ambao hao ndo watu wawili wenye akili hapo utopolo unamtoa nani kwenye nafasi take unakaa wewe? Maana utopolo wenye akili sharti ni wasizidi wawili
Huku Yanga wote ni magenius that's y vigogo wote wa nchi ni wananchi

Back
Top Bottom