Eng Hersi aanza Kwa spidi apangua Sheria huko CAF

Eng Hersi aanza Kwa spidi apangua Sheria huko CAF

Kwani nani asiyejua hilo? Huyo ametolea mfano wa Mpanzu kwamba Simba ingeweza kumtumia mapema kama sheria ingeruhusu, nikamuuliza kwani kisa cha Mpanzu kutocheza mapema kilikuwa ni kwa sababu ya kuchezea timu nyingine hapo kabla au kwa sababu alikuwa hajasajiliwa na Simba kabisa?
Hapo kuna mambo mengi ya kiufundi wa ulaji wa pesa kutokana na makubaliano ya mchezaji na wakala ama club zingine zenye mlolongo wa masilahi yao, mpira kwa sasa kuna sanaa ya upigaji wa pesa
 
Hapo kuna mambo mengi ya kiufundi wa ulaji wa pesa kutokana na makubaliano ya mchezaji na wakala ama club zingine zenye mlolongo wa masilahi yao, mpira kwa sasa kuna sanaa ya upigaji wa pesa
Huko ni kwingine kabisa hakuhusiani na mada iliyopo mezani.
 
Back
Top Bottom