Eng Hersi aanza Kwa spidi apangua Sheria huko CAF

[emoji599]Kuanzia Msimu ujao, mchezaji atakayesajiliwa Dirisha Dogo ataruhusiwa kucheza Michuano ya CAF katika Timu yake mpya hata kama mchezaji huyo alishacheza michuano hiyo kwenye Timu aliyotoka

“Effect ya ACA chini ya Brain Eng Hersi[emoji3447]”

Mfano ...makolo wangeweza mchezesha mpanzu Toka kitambo ....kama Hersi angeanza kitamboView attachment 3216714

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Tuwekee clip inayoonyesha kuwa ni yeye aliyetoa mchango huo
 
Mburula wanajua ni uamzi wa m/kiti kumbe ni maamzi ya vikao
WACHEZAJI WATARUHUSIWA KUTUMIKA WAKIHAMA TIMU.

[emoji599]Kuanzia Msimu ujao, mchezaji atakayesajiliwa Dirisha Dogo ataruhusiwa kucheza Michuano ya CAF katika Timu yake mpya hata kama mchezaji huyo alishacheza michuano hiyo kwenye Timu aliyotoka.

Hii ni kwa Mujibu wa Mabadiliko mapya ya kanuni zilizopitishwa na chama cha Vilabu kupitia Mwenyekiti wake Hersi Said Ally.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Tunawajua nyie wazee wa kuungaunga taarifa,hatuwaamini kiurahisi
WACHEZAJI WATARUHUSIWA KUTUMIKA WAKIHAMA TIMU.

[emoji599]Kuanzia Msimu ujao, mchezaji atakayesajiliwa Dirisha Dogo ataruhusiwa kucheza Michuano ya CAF katika Timu yake mpya hata kama mchezaji huyo alishacheza michuano hiyo kwenye Timu aliyotoka.

Hii ni kwa Mujibu wa Mabadiliko mapya ya kanuni zilizopitishwa na chama cha Vilabu kupitia Mwenyekiti wake Hersi Said Ally.
Source: futbol planet

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Maashallah Eng. Hersi Saidi kwa hili unastahiki pongezi, itazisaidia sana Club zinazovuka makundi na kuingia quarter finals coz january transfer window (dirisha dogo) hufunguliwa nyakati za kumaliza group stage na kwenda quarter finals kama Simba SC.. kwa kifupi ulichokifanya ni Ubaya ubwela au ngara23 na Auto-Marvelt mnasemaje?
 
[emoji599]Kuanzia Msimu ujao, mchezaji atakayesajiliwa Dirisha Dogo ataruhusiwa kucheza Michuano ya CAF katika Timu yake mpya hata kama mchezaji huyo alishacheza michuano hiyo kwenye Timu aliyotoka

“Effect ya ACA chini ya Brain Eng Hersi[emoji3447]”

Mfano ...makolo wangeweza mchezesha mpanzu Toka kitambo ....kama Hersi angeanza kitamboView attachment 3216714

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
UtoMax
 
Sheria au kanuni?

Halafu hiyo ni copy na kupest kanuni za UEFA
 
[emoji599]Kuanzia Msimu ujao, mchezaji atakayesajiliwa Dirisha Dogo ataruhusiwa kucheza Michuano ya CAF katika Timu yake mpya hata kama mchezaji huyo alishacheza michuano hiyo kwenye Timu aliyotoka

“Effect ya ACA chini ya Brain Eng Hersi[emoji3447]”

Mfano ...makolo wangeweza mchezesha mpanzu Toka kitambo ....kama Hersi angeanza kitamboView attachment 3216714

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Angekuwa Ngungu boy sijui angeongea lugha gani.??
 
Bora Yanga isingetolewa kwenye Ligi ya Klabu Bingwa thread za kizushi kama hii zisingekuwepo.

Hii ni sawa na mtu kufiwa na mtu anayempenda halafu ajifariji kwa kuvaa nguo ya marehemu.

Kuweni na subira kwani mwezi wa nane siyo mbali.
 
[emoji599]Kuanzia Msimu ujao, mchezaji atakayesajiliwa Dirisha Dogo ataruhusiwa kucheza Michuano ya CAF katika Timu yake mpya hata kama mchezaji huyo alishacheza michuano hiyo kwenye Timu aliyotoka

“Effect ya ACA chini ya Brain Eng Hersi[emoji3447]”

Mfano ...makolo wangeweza mchezesha mpanzu Toka kitambo ....kama Hersi angeanza kitamboView attachment 3216714

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
ACA stands for what
 
Bora Yanga isingetolewa kwenye Ligi ya Klabu Bingwa thread za kizushi kama hii zisingekuwepo.

Hii ni sawa na mtu kufiwa na mtu anayempenda halafu ajifariji kwa kuvaa nguo ya marehemu.

Kuweni na subira kwani mwezi wa nane siyo mbali.
Lazima tutambue mchango wa hersi ... kwenye TZ futbol

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Shirikisho la vilabu Africa

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
CAF itakuwa ni shirikisho lla league la Afrika
Kwani Mpanzu hakuchezea Simba mechi za mwanzo kwa kuwa alikuwa amechezea timu nyingine au kwa kuwa alikuwa hajasajiliwa?

Bongo zenu zimejikita kwenye propaganda ndiyo maana mna uwezo mdogo sana wa kujenga hoja.
Iko hivi kwasasa kama mchezaji amepata timu nyingine na Alisha cheza hatua za makundi haweze kuichezea timu nyingine hata kama hiyo club mpya imesonga mbele (hatua nyingi)
 
CAF itakuwa ni shirikisho lla league la Afrika

Iko hivi kwasasa kama mchezaji amepata timu nyingine na Alisha cheza hatua za makundi haweze kuichezea timu nyingine hata kama hiyo club mpya imesonga mbele (hatua nyingi)
Kwani nani asiyejua hilo? Huyo ametolea mfano wa Mpanzu kwamba Simba ingeweza kumtumia mapema kama sheria ingeruhusu, nikamuuliza kwani kisa cha Mpanzu kutocheza mapema kilikuwa ni kwa sababu ya kuchezea timu nyingine hapo kabla au kwa sababu alikuwa hajasajiliwa na Simba kabisa?
 
Back
Top Bottom