Tuwekee clip inayoonyesha kuwa ni yeye aliyetoa mchango huo[emoji599]Kuanzia Msimu ujao, mchezaji atakayesajiliwa Dirisha Dogo ataruhusiwa kucheza Michuano ya CAF katika Timu yake mpya hata kama mchezaji huyo alishacheza michuano hiyo kwenye Timu aliyotoka
“Effect ya ACA chini ya Brain Eng Hersi[emoji3447]”
Mfano ...makolo wangeweza mchezesha mpanzu Toka kitambo ....kama Hersi angeanza kitamboView attachment 3216714
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app

Ushawishi ni key for changes In any contextHahaaa kwamba wanaongozwa na enfuence
WACHEZAJI WATARUHUSIWA KUTUMIKA WAKIHAMA TIMU.Mburula wanajua ni uamzi wa m/kiti kumbe ni maamzi ya vikao
Unadhan kila kitu ni clip[emoji23]Tuwekee clip inayoonyesha kuwa ni yeye aliyetoa mchango huo
Tunawajua nyie wazee wa kuungaunga taarifa,hatuwaamini kiurahisi
WACHEZAJI WATARUHUSIWA KUTUMIKA WAKIHAMA TIMU.Tunawajua nyie wazee wa kuungaunga taarifa,hatuwaamini kiurahisi
Muhidin NdolangaHiyo picha hapo nyuma yake ni ya nani?
UtoMax[emoji599]Kuanzia Msimu ujao, mchezaji atakayesajiliwa Dirisha Dogo ataruhusiwa kucheza Michuano ya CAF katika Timu yake mpya hata kama mchezaji huyo alishacheza michuano hiyo kwenye Timu aliyotoka
“Effect ya ACA chini ya Brain Eng Hersi[emoji3447]”
Mfano ...makolo wangeweza mchezesha mpanzu Toka kitambo ....kama Hersi angeanza kitamboView attachment 3216714
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sheria au kanuni?[emoji599]Kuanzia Msimu ujao, mchezaji atakayesajiliwa Dirisha Dogo ataruhusiwa kucheza Michuano ya CAF katika Timu yake mpya hata kama mchezaji huyo alishacheza michuano hiyo kwenye Timu aliyotoka
“Effect ya ACA chini ya Brain Eng Hersi[emoji3447]”
Mfano ...makolo wangeweza mchezesha mpanzu Toka kitambo ....kama Hersi angeanza kitamboView attachment 3216714
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Angekuwa Ngungu boy sijui angeongea lugha gani.??[emoji599]Kuanzia Msimu ujao, mchezaji atakayesajiliwa Dirisha Dogo ataruhusiwa kucheza Michuano ya CAF katika Timu yake mpya hata kama mchezaji huyo alishacheza michuano hiyo kwenye Timu aliyotoka
“Effect ya ACA chini ya Brain Eng Hersi[emoji3447]”
Mfano ...makolo wangeweza mchezesha mpanzu Toka kitambo ....kama Hersi angeanza kitamboView attachment 3216714
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
ACA stands for what[emoji599]Kuanzia Msimu ujao, mchezaji atakayesajiliwa Dirisha Dogo ataruhusiwa kucheza Michuano ya CAF katika Timu yake mpya hata kama mchezaji huyo alishacheza michuano hiyo kwenye Timu aliyotoka
“Effect ya ACA chini ya Brain Eng Hersi[emoji3447]”
Mfano ...makolo wangeweza mchezesha mpanzu Toka kitambo ....kama Hersi angeanza kitamboView attachment 3216714
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
African Clubs AssociationACA stands for what
Shirikisho la vilabu AfricaACA stands for what
Lazima tutambue mchango wa hersi ... kwenye TZ futbolBora Yanga isingetolewa kwenye Ligi ya Klabu Bingwa thread za kizushi kama hii zisingekuwepo.
Hii ni sawa na mtu kufiwa na mtu anayempenda halafu ajifariji kwa kuvaa nguo ya marehemu.
Kuweni na subira kwani mwezi wa nane siyo mbali.
CAF itakuwa ni shirikisho lla league la Afrika
Iko hivi kwasasa kama mchezaji amepata timu nyingine na Alisha cheza hatua za makundi haweze kuichezea timu nyingine hata kama hiyo club mpya imesonga mbele (hatua nyingi)Kwani Mpanzu hakuchezea Simba mechi za mwanzo kwa kuwa alikuwa amechezea timu nyingine au kwa kuwa alikuwa hajasajiliwa?
Bongo zenu zimejikita kwenye propaganda ndiyo maana mna uwezo mdogo sana wa kujenga hoja.
Kwani nani asiyejua hilo? Huyo ametolea mfano wa Mpanzu kwamba Simba ingeweza kumtumia mapema kama sheria ingeruhusu, nikamuuliza kwani kisa cha Mpanzu kutocheza mapema kilikuwa ni kwa sababu ya kuchezea timu nyingine hapo kabla au kwa sababu alikuwa hajasajiliwa na Simba kabisa?CAF itakuwa ni shirikisho lla league la Afrika
Iko hivi kwasasa kama mchezaji amepata timu nyingine na Alisha cheza hatua za makundi haweze kuichezea timu nyingine hata kama hiyo club mpya imesonga mbele (hatua nyingi)