Eng. Hersi ajiuzulu nafasi yake ya urais kwa kututusi sisi wanayanga!

Eng. Hersi ajiuzulu nafasi yake ya urais kwa kututusi sisi wanayanga!

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Kitendo cha Rais wa klabu yetu pendwa ya Young Africans au yanga kutuita sisi mashabiki wake wala mihogo, ni kutudhalilisha, kutufedhehesha, kutudharau na kutuona hatuna maana.

Inauma sana kwa kweli leo hii sisi ni wakuitwa wala mihogo ambao hatufai kuchangia chochote kisa tumekula mihogo. Na je vipi kuhusu wanachuo wanaoshindia mihogo kwa wingi wao nao hawana nafasi pale yanga kisa mihogo.

Mihogo kama chakula kizuri cha wanga kimedhalilishwa na Eng. Hersi raisi wa yanga kuwa muungwana ujiuzulu nafasi yako tutafte raisi mwingine ambaye atakuwa ni muungwana asiye na kashfa na sio kutudhalilisha sisi mashabiki wake.
 
Kwa kifupi kinachowakuta mashabiki wa Yanga SC naweza kusema mmevuna mlichopanda.

Huyo Hersi mlimchagua kwasababu ya pesa zake, naamini hiyo ndio sababu kubwa..

Nae akajua hawa wachovu wamenichagua kwa kishindo sababu ya pesa zangu, sasa leo amewaita wala mihogo msikasirike, kiukweli mihogo ndio chakula chenu kikuu hata kabla Hersi hajaja.

Ningewashauri tu, kwanza muoneshe heshima kwa mihogo iliyotajwa, lakini pia, mumshukuru bosi wenu kwa kujua chakula chenu kikuu ni kipi, kumbuka mihogo ndio iliwalea kabla Hersi hajaja Yanga.
 
Ningewashauri tu, kwanza muoneshr heshima kwa mihogo iliyotajwa, lakini pia, mumshukuru bosi wenu kwa kujua chakula chenu kikuu ni kipi, kumbuka mihogo ndio iliwalea kabla Hersi hajaja Yanga.
Ameongea kwa mfumo wa kibaguzi kwamba wala mihogo hatupaswi kushauri chochote katika yanga yetu inauma sana. Awe muungwana atuachie klabu yetu.
 
Wacheni unafiki wenu kwani kweli hamli mihogo? Mbona Haji Manara aliyewaita nyie hamnazo mnamchekea? Hersi haendi popote. Aliyewatuma kumbeba ni nani?
IMG-20221103-WA0015.jpg
 
Ile kauli ni ya dharau sana kwetu wana Yanga.

By the way Eng. Hersi ni msomali, amesoma chuo IFM, na Mke wake kaoa msomali. Arudi huko kwao wanako sombwa kwenye malori kama ng'ombe. Yanga ipo na itakuwepo bila yeye. Dr. Msolla Mshindo aka itengeneza timu.
Tukiamua kudai timu yetu tuta mtimua arudi kwao SOMALIA.
 
Mihogo mbona chahula Bomba sana tu Kuna dkt mmoja nae kipindi Fulani aliwahi kudai anashindia hiko chakura ila alikiacha baada ya kupata ma billion kutokea Lumumba.
Ndio hoja yangu kuu kwanini raisi wa yanga akitumie kama kielelezo cha kutudhalilisha sisi mashabiki wa yanga.
 
Kwa kifupi kinachowakuta mashabiki wa Yanga SC naweza kusema mmevuna mlichopanda.

Huyo Hersi mlimchagua kwasababu ya pesa zake, naamini hiyo ndio sababu kubwa..

Nae akajua hawa wachovu wamenichagua kwa kishindo sababu ya pesa zangu, sasa leo amewaita wala mihogo msikasirike, kiukweli mihogo ndio chakula chenu kikuu hata kabla Hersi hajaja.

Ningewashauri tu, kwanza muoneshe heshima kwa mihogo iliyotajwa, lakini pia, mumshukuru bosi wenu kwa kujua chakula chenu kikuu ni kipi, kumbuka mihogo ndio iliwalea kabla Hersi hajaja Yanga.
Eng. Hersi hana hela ww. Mwenye hela ni mdhamini GSM. Yeye ni mfanyakazi tu wa GSM, tuki amua kuwasha moto ana ondoka..na GSM ana baki.
 
Ile kauli ni ya dharau sana kwetu wana Yanga.

By the way Eng. Hersi ni msomali, amesoma chuo IFM, na Mke wake kaoa msomali. Arudi huko kwao wanako sombwa kwenye malori kama ng'ombe. Yanga ipo na itakuwepo bila yeye. Dr. Msolla Mshindo aka itengeneza timu.
Tukiamua kudai timu yetu tuta mtimua arudi kwao SOMALIA.
Asante sana mkuu ile kauli ilikuwa ya kebehi sana kwamba ukila mihogo hupaswi kuishauri yanga kitu. Kwahyo mihogo inaondoa utimamu wa akili. Atuachie klabu yetu pendwa.
 
Mnajiita mabingwa wa kihistoria lakini mnachagua viongozi wasiojua historian ya yanga
Ndio mabingwa wa kihistoria lakini kwanini tudhalilishwe hivo tena mbele ya waandishi wa habari? Raisi tena Eng. ni wakutoka public kuanza kuwakashifu mashabiki wake kwamba walishiba mihogo ndio maana hatufai kushauri chochote! Inauma sana kwa kweli.
 
Back
Top Bottom