Eng. Hersi ajiuzulu nafasi yake ya urais kwa kututusi sisi wanayanga!

Eng. Hersi ajiuzulu nafasi yake ya urais kwa kututusi sisi wanayanga!

Hersi alitakiwa kuwaomba radhi wana Yanga.
Unasema tu

samahanini kwa kauli yangu hakika sikudhamilia kuwadhihaki

Mambo yanaisha.
Kati ya watu wenye jeuri ni wale wasioweza kuomba msamaha

Msamaha unaombwa hata kama hujakosea, una angalia tu jamii imechukuliaje neno au tendo lako.
Busara ( Hekima ) yako hii haipo Ubongoni mwa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said.
 
Ungekuwa unanishobokea hapa 24/7?
Bado huna jipya

Kwa hiyo threads zako zinapaswa kusomwa na mazwazwa wenzako?

Weka angalizo kabisa ili wenye akili tuzipitie mbali.

Ignore list inakuhusu
 
Bado huna jipya

Kwa hiyo threads zako zinapaswa kusomwa na mazwazwa wenzako?

Weka angalizo kabisa ili wenye akili tuzipitie mbali.

Ignore list inakuhusu
Zwazwa atakuwa ni yule Aliyekuzaa!!!
 
Hivi Hersi anasimamia maslahi ya Yanga au GSM?

Kuna haja ya kupeleka suala la uongozi wa Hersi BMT. Kuna mgongano wa maslahi ya Wazi ya Hersi kufanya kazi kote sehemu mbili, GSM na Yanga!
Jibu ni Moja tu anasimamia maslai ya GSM, yaani yanga ni kitegauchumi cha GSM ndio maana Wala mihogo hawana nguvu ya kusema.
 
Kitendo cha Rais wa klabu yetu pendwa ya Young Africans au yanga kutuita sisi mashabiki wake wala mihogo, ni kutudhalilisha, kutufedhehesha, kutudharau na kutuona hatuna maana.

Inauma sana kwa kweli leo hii sisi ni wakuitwa wala mihogo ambao hatufai kuchangia chochote kisa tumekula mihogo. Na je vipi kuhusu wanachuo wanaoshindia mihogo kwa wingi wao nao hawana nafasi pale yanga kisa mihogo.

Mihogo kama chakula kizuri cha wanga kimedhalilishwa na Eng. Hersi raisi wa yanga kuwa muungwana ujiuzulu nafasi yako tutafte raisi mwingine ambaye atakuwa ni muungwana asiye na kashfa na sio kutudhalilisha sisi mashabiki wake.
Acha majungu yako, kwanza kadi yenyewe huna
 
Hersi alitakiwa kuwaomba radhi wana Yanga.
Unasema tu

samahanini kwa kauli yangu hakika sikudhamilia kuwadhihaki

Mambo yanaisha.
Kati ya watu wenye jeuri ni wale wasioweza kuomba msamaha

Msamaha unaombwa hata kama hujakosea, una angalia tu jamii imechukuliaje neno au tendo lako.
Hakuna kuomba msamaha hao ni mazuzu walisahili kutukanwa kwani kula mihogo ni tusi,?
 
Kama GSM mwenyewe ametulia na anakula mabaga,mapiza,mayonaizi ,makoronya,matambi,ma eggs chop,makababu na machapati chapati na amewekeza Bs ametulia tuli iweje wewe mla mihogo unalalamika?
Mihogo ni bora kuliko hivyo vyote! mihogo ni chakula original cha asili! Ni ulimbukeni tu kudhani kuwa hivyo vitu hivyo vya kigeni vina tija yoyote. Sana sana ni kusababisha matatizo ya kisukari, presha na matatizo ya moyo! Yanga furahieni sifa ya wala mihogo!
 
Wala mihogo fc
FB_IMG_16675395447634111.jpg
 
Inauma sana kwa nafasi pale yanga kisa mihogo.

Mihogo kama chakula kizuri cha wanga kimedhalilishwa na Eng. Hersi raisi wa yanga kuwa muungwana ujiuzulu nafasi yako tutafte raisi mwingine mla mihogo ambaye atakuwa ni muungwana asiye na kashfa na sio kutudhalilisha sisi mashabiki wake wala mihogo.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Wala mihogo
 
Ukitaka kuepuka kudhalilishwa tafuta Pesa hakuna atakaye kuita mla mihogo
 
Back
Top Bottom