ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Tena katumia kauli nzuri wengine waliitwa Mbumbumbu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kula mihogo ni tusi? waende kwenye timu ambayo haifungwi wala ku draw pumbavu zao kabisaWala mihogo wa chanika.
Kwani uwongo hamli mihogo? Huyu hapa mwenzenu Tati Mkuu anadumisha mila na desturi ya utopoloNdivyo alivyomaanisha na mashangazi wa simba wameanza kutukebehi kuwa sisi ni wala mihogo kama nguruwe inauma sana kama nyinyi mlipoitwa mbumbumbu!
[emoji2][emoji3][emoji119]Mkia Huyo, labda kama haisomi nyuzi za jukwaa la Michezo ndio utapata tabu kumjua
Kula mihogo ni tusi?Kitendo cha Rais wa klabu yetu pendwa ya Young Africans au yanga kutuita sisi mashabiki wake wala mihogo, ni kutudhalilisha, kutufedhehesha, kutudharau na kutuona hatuna maana.
Inauma sana kwa kweli leo hii sisi ni wakuitwa wala mihogo ambao hatufai kuchangia chochote kisa tumekula mihogo. Na je vipi kuhusu wanachuo wanaoshindia mihogo kwa wingi wao nao hawana nafasi pale yanga kisa mihogo.
Mihogo kama chakula kizuri cha wanga kimedhalilishwa na Eng. Hersi raisi wa yanga kuwa muungwana ujiuzulu nafasi yako tutafte raisi mwingine ambaye atakuwa ni muungwana asiye na kashfa na sio kutudhalilisha sisi mashabiki wake.
Walimwita vile apoanza habari zake kuwa alikuwa anashindia mihogo.Dr. Slaa mwenyewe alivyoondoka CHADEMA then wanachadema walianza kumuita ni Dr. Mihogo.
Labda aliiheshimisha Mihogo.
Hapo unazidi kuwatukana wanaYanga....Mihogo chakula ya nguruwe
Uto mnadeka sana aiseeKama GSM mwenyewe ametulia na anakula mabaga,mapiza,mayonaizi ,makoronya,matambi,ma eggs chop,makababu na machapati chapati na amewekeza Bs ametulia tuli iweje wewe mla mihogo unalalamika?
Acha Unafiki na Kushoboka umeambiwa Mimi ni Ally Kamwe ( Msemaji wa Yanga SC ) yao?Uto mnadeka sana aisee
Kwani hamli mihogo bana?
GENTAMYCINE ni lini mgongowazi waliacha kula mihogo?
Wapz sana hawa ona walivyombebaWacheni unafiki wenu kwani kweli hamli mihogo? Mbona Haji Manara aliyewaita nyie hamnazo mnamchekea? Hersi haendi popote. Mlimbebea nini?View attachment 2405972
Nyie hmn la kufanyaIle kauli ni ya dharau sana kwetu wana Yanga.
By the way Eng. Hersi ni msomali, amesoma chuo IFM, na Mke wake kaoa msomali. Arudi huko kwao wanako sombwa kwenye malori kama ng'ombe. Yanga ipo na itakuwepo bila yeye. Dr. Msolla Mshindo aka itengeneza timu.
Tukiamua kudai timu yetu tuta mtimua arudi kwao SOMALIA.
Fair play haina unafiki na kushoboka.Acha Unafiki na Kushoboka umeambiwa Mimi ni Ally Kamwe ( Msemaji wa Yanga SC ) yao?
Pumbavu nilisema Kinanuka Soon au nilisema kuwa ndani ya Wiki Moja baada ya Mechi yao ya Juzi na Club Africaine mpaka ile ya marudiano Jijini Tunis nchini Tunisia tarehe 9 Novemba Kocha Nabi lazima atafukuzwa tu?Fair play haina unafiki na kushoboka.
Wewe si ulisema kinanuka soon Avic?
Huna jipya.Pumbavu nilisema Kinanuka Soon au nilisema kuwa ndani ya Wiki Moja baada ya Mechi yao ya Juzi na Club Africaine mpaka ile ya marudiano Jijini Tunis nchini Tunisia tarehe 9 Novemba Kocha Nabi lazima atafukuzwa tu?
Je, Mechi hiyo ya marudiano imeshapita? Kusema soon Kwako Wewe damn Fool ni Kumaanisha Siku hiyo hiyo? Huniamini na Unanichukia lakini bado kila Siku ( 24/7 ) ukiwa hapa ( Log In ) hapa JamiiForums ni lazima tu usome Mada ( Threads ) zangu.
Kumbe nikiwa Nawadharau mno huwa sikosei na nakuwa sahihi 100% kabisa.