Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Yanga wanaguguna,(siyo kula)mihogo mibichi.πππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani, sijakataa wewe kulalama. Hoja yangu ni kua kwanini siku ile mlicheka na kufurahi na mkasubiri mpaka mpate matokeo yasiyowaridhisha?Unafiki kulalama wakati ni haki yetu? Wewe ulipoitwa mbumbumbu mbona haraka mlianza harakati za kumuondoa rage?
Hersi ndie mfereji wa pesa kuzitoa GSM na kuzifikisha Yanga.Eng. Hersi hana hela ww. Mwenye hela ni mdhamini GSM. Yeye ni mfanyakazi tu wa GSM, tuki amua kuwasha moto ana ondoka..na GSM ana baki.
Hata Dr. Slaa alipofurushwa kutoka kwenye chama chake, alilia njaa na kusema anakula mihogo na maharagwe.Kwanini mihogo iwe ni kielelezoncha umaskini ndio hoja yangu kuu? Ndio maana nasema raisi wa yanga awe muungwana ma ajiuzulu nafasi yake.
Kwahyo mkiambiwa ukweli mnakasirika.Kitendo cha Rais wa klabu yetu pendwa ya Young Africans au yanga kutuita sisi mashabiki wake wala mihogo, ni kutudhalilisha, kutufedhehesha, kutudharau na kutuona hatuna maana.
Inauma sana kwa kweli leo hii sisi ni wakuitwa wala mihogo ambao hatufai kuchangia chochote kisa tumekula mihogo. Na je vipi kuhusu wanachuo wanaoshindia mihogo kwa wingi wao nao hawana nafasi pale yanga kisa mihogo.
Mihogo kama chakula kizuri cha wanga kimedhalilishwa na Eng. Hersi raisi wa yanga kuwa muungwana ujiuzulu nafasi yako tutafte raisi mwingine ambaye atakuwa ni muungwana asiye na kashfa na sio kutudhalilisha sisi mashabiki wake.
Kwani kawaita Nguruwe? Au watu sasa ndo wanasema waoHuo ndio uhalisia wa mambo kwamba sisi ni kama manguruwe? Yaani ukila mihogo unaonekana nguruwe inaumiza sana hersi ajiuzulu nafasi yake.
Mashangazi tena? π πNdivyo alivyomaanisha na mashangazi wa simba wameanza kutukebehi kuwa sisi ni wala mihogo kama nguruwe inauma sana kama nyinyi mlipoitwa mbumbumbu!