Eng. Hersi: Haji Manara sio Msemaji wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpa

Namshauri Manara asikubali huu udhalilishaji...

Ile nafasi ya usemaji ni yake..

Namshauri aungane na mzee Magoma wauwashe moto...
 
Haji ni mtu wa visasi na ana roho ya chuki sana,yani mpaka leo ana chuki na Mo,kutwa haishi kumpiga vijembe kama Mama wa Kizaramu aliyefiwa Mume,

Akaisemee Yanga kwenye page yake ya Insta,

Kwisha habari yake Zungu pori.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…