Eng Hersi: Kuna namna timu fulani ilijipa utawala wa nchi, Nitawanyoosha


Mpira haupo hivyo ;
 
Aache kauli za kipumbavu. Hana mamlaka ya kuinyoosha simba. Ni suala la muda tu simba itarudi kwenye ubora wake na mtaanza malalamiko yenu ya kumlalamikia Karia na tff yake na sijui ataficha wapi sura yake huyo msomali.
Huyo anaongea anadhani next year Simba itakuwa hivi never
Hata ubingwa ni Simba kadrop points mwenyewe tu tena kwa timu ndogo tu means Simba angechukua kama angeshinda hivyo vijimechi.

Simba na ubovu wake alichukua kombe mbele yao sioni hicho kinachoitwa kuinyoosha Simba
 
Duh!
Uko serious mkuu!?
Yanga ilokupiga nje ndani bado unasema hujaona wapi imekunyoosha!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…