Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Sijui hiyo channel ya Uto ipo whatsapp ipi, ila channels za timu kubwa ndio kama unavyoona hapa 😂Bro hivi una maanisha au unatania mkuu?
View attachment 2861804
PSG ni bahari ya soccer [emoji460] DunianiHivi eng Hersi alipataje ujasiri wa kujipiga selfie na 'wambea' wa ughaibuni?
Ikiwa kuwa na channel ni umbea basi PSG wamefyeka ubongo wa rais wenu maana wewe hapo ulipo hujui hata idadi ya followers wa PSG huko whatsapp but unakaza fuvu tu oooh kuwa na channel ni umbea [emoji23][emoji23].
Pole ndugu [emoji23][emoji23]
Ndugu kheri ya mwaka mpya nafurahi kuona komenti yako , nakupenda bure .Wale wenzetu waliosema hicho ni cheo cha kawaida ndio maana Try Again ‘akakikataa’ watuambie hapa ni wapi? Majimaji ya Songea?
Aiseee....Hersi akiwa kwenye picha ya pamoja Baada ya Hakimi kumuomba picha eng hersiView attachment 2861708
Na Uto ni dimbwi la vyura pale jangwani ?PSG ni bahari ya soccer [emoji460] Duniani
Halafu kuna mbumbumbu eti zinataka huyu akae meza moja na machawa, Mwijaku na Baba Revo ili wajadili nini?Wale wenzetu waliosema hicho ni cheo cha kawaida ndio maana Try Again ‘akakikataa’ watuambie hapa ni wapi? Majimaji ya Songea?
Kamati ya kuteua iliundwa na akina nani? Lazima tuwajue sio kwa udhalilishaji waliomfanyia Rais wetu.Halafu kuna mbumbumbu eti zinataka huyu akae meza moja na machawa, Mwijaku na Baba Revo ili wajadili nini?
Rais wetu Yuko bize hiyo nafasi apewe Stive Nyerere A.K.A Tivu Akee.
You are almost married to Mangung' shut up!Hersi is your spouse, isn't he? Kindly elucidate in a systematic manner how engaging with the chairperson of European club at the same table can contribute to the advancement of Tanzanian football!
Perhaps it would have been wiser to communicate in Swahili rather than attempting this humorous form of English.You are almost married to Mangung' shut up!
Naunga mkono hojaWale wenzetu waliosema hicho ni cheo cha kawaida ndio maana Try Again ‘akakikataa’ watuambie hapa ni wapi? Majimaji ya Songea?
Ni ushamba tu wa Kibongo.Kwa akili zako kukutana na uongozi wa PSG ni jambo dogo?
Heri ya mwaka mpya Mkuu, Asante.Ndugu kheri ya mwaka mpya nafurahi kuona komenti yako , nakupenda bure .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app