Eng Hersi Said, kufumba na kufumbua, nahitaji huyo coach tapeli Roman Folz aondoke

Mkuu kuwa mwanamichezo huu ushabiki usitupumbaze
Tuna michezo mikubwa ya kimataifa hivi huyu Coach akiulizwa maswali ya mbinu na makocha wakubwa akina na Rulan, Marcel Kola, Miguel Cardoso, Jurcic, Marher Kanzari atajibu Nini.

Itakuwa aibu ya mwaka.

Huyu Coach ni kilaza mno amefika Yanga Toka July saiv September, hana first 11 anabahatisha tu, hakuna falsafa anayoiingiza kwenye timu.

Me sihusishi ubora wake na matokeo ya Leo, najua wazi haya matokeo ni ya kawaida katika ligi, ila kusema ukweli timu ni dhaifu kimbinu mno
 
Kati ya mechi 6. Walau kidogo leo nimeona timu ina mpira fulani hivi, mechi ingechezwa kwenye pitch nzuri yamkini tungeona mambo mazuri zaidi.
 
Binafsi kwa umri wake unanipa mashaka sana kama atakuwa na uzoefu mzuri wa kuhandle timu kama Yanga.

Sitaki kuongea lolote lile ila naamini muda utazungumza zaidi. Ila ningekuwa katika management ya Yanga, nisingerisk kumchukua Folz. Hii ni kamali.
 
Sasa huyo ndiyo kocha wa timu kwa sasa na ameletwa na rais wako wa klabu Injinia Hersi Said. Mimi mwenyewe wakati anaajiriwa, nilipata shida sana kuifahamu CV yake. Maana sikuwahi kumsikia mahali popote pale kabla ya kuajiriwa na Yanga.

Hivyo tumpe tu ushirikiano mpaka hapo mambo yatakapo haribika kabisa, ataondolewa. Ila kwa sasa, usitegemee.
 
Kati ya mechi 6. Walau kidogo leo nimeona timu ina mpira fulani hivi, mechi ingechezwa kwenye pitch nzuri yamkini tungeona mambo mazuri zaidi.
Timu haitengenezi nafasi
Timu corners 15+ hakuna on target
Timu hai link kabisa
Timu haijui ishambulie vipi, ijilinde vipi
Timu haijui ifanye Nini uwanjani
Kouma huyo ndo hamna kitu
Boyeli sijui hata ni striker Gani yule, Haji position, hatanui uwanja, hawezi battle hata 1 mabeki wana.m win tu
Cross ahazifiki kwenye box
 
Tena yule Ecua kawa fala kama Kibu, tena bora ata Kibu.
 
Binafsi kwa umri wake unanipa mashaka sana kama atakuwa na uzoefu mzuri wa kuhandle timu kama Yanga.

Sitaki kuongea lolote lile ila naamini muda utazungumza zaidi. Ila ningekuwa katika management ya Yanga, nisingerisk kumchukua Folz. Hii ni kamali.
Hili halina ubishi. Uongozi wa Yanga umecheza kamari. Binafsi wakati Florent Ibenge anatangazwa kuwa kocha wa Azam, nilishangaa inakuwaje kocha wa kiwango cha Ibenge anaenda Azam, badala ya Yanga? Kuna watu wakasema eti labda mfumo wake wa uchezaji haundani na Yanga!

Ila kwa upande wangu nilifikiri kama Yanga ina nia ya kufanya vizuri Kimataifa, basi ilitakiwa kuajiri makocha wenye CV kubwa kama akina Ibenge, nk. Na siyo makocha aina ya Romain Folz! Ambao ndiyo wanakuja kujijengea CV zao kupitia timu kubwa kama Yanga.
 
Nakuhakikishia tukienda makundi na huyu Coach Kilaza tutashika mkia kundi letu
Huyu Coach Kwa foundation course yangu ya Coaching namfunga nyingino
 
Mkuu, kusema Ibenge Azam aliiona ni bora kuliko Yanga sio kweli. Ibenge ameshafanya biashara sana na Yanga, na kubwa zaidi hata maboss wa zamani wa Ibenge, Hersi ana ukaribu nao. Sijui tulifeli wapi ila kuna kitu nakihisi.

Yamkini Yanga inachukua hawa makocha wa kawaida kwa ajili ya biashara ili mtu akija avunje mkataba. Ila kwa huyu Folz kwa umri wake na CV, risk ni kubwa sana.
 
Duuh una moyo sana mwanayanga mwenzangu.
 
Mpira ni mchezo wa wazi mkuu timu haivutii kutazama ndo maana
 
Hakuna biashara ya kuuza makocha duniani kote, hakuna klabu itanufaika kwa kuuza kocha
Makocha mara nyingi wakitaka kuterninate mkataba huwa na kipengele cha kurudisha tu mishahara ya miezi mitatu then yupo free kwenda, makocha hawana mikataba migumu kama wachezaji
 
Alietumwa apeleke hela mbeya city hakupeleka akiamini Yanga tutashinda
 
Mpira ni mchezo wa wazi mkuu timu haivutii kutazama ndo maana
Jamaa sijui kawa na mahaba gani kwa kocha, tumeona makocha wageni wanakuta wachezaji wapya lakini timu haikuwa inscheza hovyo hivi kwanini kwake wachezaji ndio wawe wanacheza utumbo? Kaja Ramovich kaichukua timu kwa muda mfupi tu lakini tukaona wachezaji wakichezs vizuri tu, kaja Miloud hivyo hivyo. Kwanini kwa huyu kocha wachezaji ni wale wale lakini wanacheza mpira wa hovyo kama wameokotwa mtaani.
 
Unaukumbuka ule uzi wako baada ya game ya mwananchi day sijui ni yanga day?, ulimsifia foloza leo umekula nini tena hadi kumwita mwanafunzi wa field. Anyways upo vizuri since umemtambua yule Ahmad Ally wa JKT kuwa ni miongoni wakali wa tactics
 
Bado hamjasema mpaka mtapike kafara dini ya kiarabu za kuchinja ngamia na kula supu
 
haya matokeo ni ya kawaida katika ligi, ila kusema ukweli timu ni dhaifu kimbinu mno
here is the main point, ila hao mashabiki njaa wengine wamekaza fuvu na hawataki kuelewa. Folz ni replica ya Fadlu team inavyocheza haina pattern yoyote instead inabaki demand on individual brilliance ya wachezaji kwa kiasi kikubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…