Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mimi sio mfanyakazi wa Yanga, Sipo kwenye orodha ya wanaolipwa na Yanga, sipati Tsh. 100 Yanga, mimi kwa maana ya Rais wa Klabu sio mfanyakazi wa klabu, wala haajiriwi na klabu, makamu wa Rais pia, wajumbe wa kamati ya utendaji pia sio wafanyakazi wa Yanga.
“Wafanyakazi wa Yanga wanaanzia Level ya CEO hao ndio waajiriwa wa Yanga sisi ni viongozi ambao tumechaguliwa na Wanachama wa Yanga kuisimamia Yanga,” Rais wa Yanga Sc, Eng. Hersi Said.✍️
“Wafanyakazi wa Yanga wanaanzia Level ya CEO hao ndio waajiriwa wa Yanga sisi ni viongozi ambao tumechaguliwa na Wanachama wa Yanga kuisimamia Yanga,” Rais wa Yanga Sc, Eng. Hersi Said.✍️