Nasema hivi, uelewa wako ni DUNI aka FINYU! Wenye akili wamekuambia posho sio mshahara! Zaidi ya hapo, kwa Yanga na Simba watu kutolipwa sio jambo geni! Manji aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Uto; unataka kusema alikuwa analipwa yule? Mo ameshakuwa Rais wa Simba, unataka kusema alikuwa analipwa yule? Msola alienda kuwa Mwenyekiti Uto wakati Uto walikuwa hawana ubavu hata kusafirisha timu, unataka kusema alikuwa analipwa yule? Btw, inawezekana mimi ni chawa, je wewe ni Mke wa Hersi kwahiyo unafahamu kwamba mumeo analipwa tofauti na alivyouambia umma?