SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Sasa kama wewe ni rais wa Yanga halafu unasema siyo mfanyakazi wa Yanga maana yake nini?
Kama wewe siyo mfanyakazi wa Yanga basi Yanga ni mfanyakazi wako!
"Mimi sifanyi kazi Yanga. Mimi ni Rais wa Yanga". Hii kauli inabeba mengi sana.Engineer anajaribu kutwambia kwamba "yeye ndio Yanga au kwa lugha rahisi Yanga ni mali yake" ...
Hao wengine ni waajiriwa tu ila wenyewe wapo...
Hao wengine wanaweza kufutwa kazi maana ni wa kuja, wenye Yanga wapo ...
Kwahiyo kuanzia leo ukisikia neno "Yanga" basi vuta picha ya engineer...
Hivi wafanyakazi wanachukuliwaje nchi hii? Kwa hiyo "kazi" anayopewaga na anayojipaga credit kuifanya Yanga tuipe jina gani?