Rais wa Yanga ni mtendaji wa kila siku wa majukumu ya timu ndiyo maana credit za mafanikio yote ya Yanga kuanzia usajili hadi performance ya timu uwanjani anapewa yeye kwanza kabla ya huyo CEO. Yale yale ya GSM, mnamuimba kama ndiyo kila kitu hapo utopoloni ila mkibanwa kwenye udhamini wa vilabu vingine mnamruka kuwa hana influence yoyote klabuni, eti ni mdhamini mdogo tu.
Tatizo Yanga mna ile wanasema "you want to have your cake and eat it too". Kama wewe ni msomi kama unavyojinasibisha utaelewa hiyo kauli ina maana gani.