Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Hakika wengi hamuelewi governance. Hata board mbalimbali za makampuni kuna hao wakurugenzi wa bodi ambao siyo waajiriwa, sasa mnashangaa nini?????Hivi story hizi za kufanya kazi full time halafu unajisifu silipwi chochote au story za ufadhili bado zipo? Halafu kuna chura anajigamba wanaendesha timu kisasa. Wangemuuliza kwa hiyo anaishije bila mshahara?
Kuchaguliwa na wanachama hakumaanishi haustahili kulipwa. Rais na Wabunge wanachaguliwa na wananchi lakini wanalipwa kwa mujibu wa sheria.
Hizi story za watu kufanya kazi halafu wanajisifu hawalipwi sipendagi kuzisikia hata Simba maana zinajenga mazingira ya kudanganyana.
Rais tena kama huyu ambaye full time yupo katika shughuli za timu hauwezi kulinganisha na utendaji wa bodi.Hakika wengi hamuelewi governance. Hata board mbalimbali za makampuni kuna hao wakurugenzi wa bodi ambao siyo waajiriwa, sasa mnashangaa nini?????
Nitajie mshahara wa Mwenyekiti wa Chama au taasisi yoyote ile unayoijua wewe.Hivi story hizi za kufanya kazi full time halafu unajisifu silipwi chochote au story za ufadhili bado zipo? Halafu kuna chura anajigamba wanaendesha timu kisasa. Wangemuuliza kwa hiyo anaishije bila mshahara?
Kuchaguliwa na wanachama hakumaanishi haustahili kulipwa. Rais na Wabunge wanachaguliwa na wananchi lakini wanalipwa kwa mujibu wa sheria.
Hizi story za watu kufanya kazi halafu wanajisifu hawalipwi sipendagi kuzisikia hata Simba maana zinajenga mazingira ya kudanganyana.
Kwako unaposema full time unamaanisha nini?Rais tena kama huyu ambaye full time yupo katika shughuli za timu hauwezi kulinganisha na utendaji wa bodi.
Kitendo tu cha kutofautisha "viongozi" na "wafanyakazi" kinaleta maswali juu ya ama ufahamu wake kuhusu uongozi au dhamira yake katika kusema ukweli. Kuwa mfanyakazi hakukunyimi wewe kuwa kiongozi. Hivi CEO siyo kiongozi kisa analipwa mshahara? Hivi Afisa Habari siyo kiongozi kisa analipwa mshahara?
Halafu hajajibu swali kama yeye bado ni mwajiriwa wa GSM, at least katika clip hii hajajibu.
Ni kweli unachokisema kiongozi. Iko hivi anaposema muajiriwa anamaanisha yupo kwenye payroll ya Yanga kitu ambacho siyo kweli yeye hayupo kwenye roster ya wanaolipwa mishahara kila mwezi au mkataba. Kwenye governance inakuwaga hivi bosi. Mfano CRDB ina wafanyakazi na wasiowafanyakazi ila wanawasimamia wafanyakazi. Hii tunaiitw bodi ya wakurugenzi. Kwenye bodi kuna waajiriwa wa CRDB (wana mikataba) na wengine siyo waajiriwa wa bank (hawana mikataba na hawapo kwenye payroll). Kinachotokea huwa ni wahusika ambao siyo waajiriwa hulipwa kama posho (remuneration-director fee etc) kwa muda fulani inaweza kuwa kila baada ya miezi sita etc, na wanapohudhuria vikao wanalipwa. So alichokisema Eng. Hersi ni kipo hivyo, siyo kabisa mwajiliwa ila ni mtendaji anayelipwa posho au fee inategemea wao yanga wataitaje. Aina hii ya governance husaidia kuwasimamia waajiriwa na lengo la kina Hersi ni kuhakikisha wanasimamia maslahi ya wanachama na ndiyo maana haiwezekana wawe waajiriwa watashindwa kusimamia hao waajiriwa wa yanga na hii iko kisheria zaidi bosi. Hata CRDB bodi ya wakurugenzi kazi yake ni kuisimamia management na ndiyo maana siyo waajiriwa. Nadhani nimeelewekaHa
Rais tena kama huyu ambaye full time yupo katika shughuli za timu hauwezi kulinganisha na utendaji wa bodi.
Kitendo tu cha kutofautisha "viongozi" na "wafanyakazi" kinaleta maswali juu ya ama ufahamu wake kuhusu uongozi au dhamira yake katika kusema ukweli. Kuwa mfanyakazi hakukunyimi wewe kuwa kiongozi. Hivi CEO siyo kiongozi kisa analipwa mshahara? Hivi Afisa Habari siyo kiongozi kisa analipwa mshahara?
Halafu hajajibu swali kama yeye bado ni mwajiriwa wa GSM, at least katika clip hii hajajibu.
Soma post yangu hapo nyuma bosi. Kutokuwa muajiriwa haimaniishi halipwi ila imekaa zaidi ki governance ili kuwezesha utendaji wa club kuwa na ufanisi. Siyo muajiliwa ila kuna malipo anapata toka yanga. Tatizo wengi wenu hamuelewi governance structure za aina mbali mbaliChanzo cha mapato yake ni nini na hao wenzake.
Korujuani imeanza kufanya kazi?Sasa kama naanza kumuelewa Mzee magoma