Eng. Hersi Said (rais wa Yanga) umemtendea nini Feisal Salum mpaka akuone Kama kijipu chungu hataki kabisa kufanya kazi na wewe?

Eng. Hersi Said (rais wa Yanga) umemtendea nini Feisal Salum mpaka akuone Kama kijipu chungu hataki kabisa kufanya kazi na wewe?

Nataka nikufahamisheni kuhusu wa Zanzibari

Wazanzibari wakweli usiwachezee kwenye utu wawo.
Mfano kaja kuomba chakula ananjaa, kama utampa chakula na kumtupia chini sahani basi atakuwachia mwenyewe chakula chako na ataondoka na njaa yake hatokula.

Huwezi kumnyanyasa mzanzibari katika utu wake.
Feisal kadhalilishwa utu wake dio maana bora umaskini kuliko kurudi yanga ikiwa walomdhalilisha wapo bado.

Yanga hawamhitaji Feisal kwanini wanamzuwiya? wamefika Final bila ya feisal. Lakini chiyo sababu hawataki timu ingine imchukuwe akaja kuwapa taabu.
Hakuna sheria za mpira za wazanzibari na za FIFA, hiyo ego yenu pelekeni kwenu hapa zinafuatwa sheria, kanuni na taratibu za FIFA.

Pia hiyo siyo ndoa kwamba ukimchoka mume au mke unaamua kuomba talaka unaenda kwenye maisha mengine. Taratibu na sheria lazima zifuatwe.

Sheria za mpira hazipingwi na ubishi wa kizanzibari bali na kanuni za FIFA, ameitwa na kupewa option tatu, ipi aliyoitekeleza? Huo ushindani wenye chembechembe za uchawi.

Yanga haina cha kupoteza bali inalinda heshima na taswira ya taasisi, akiamua kukaa bila kucheza mpira anamkomoa nani? Kuna mzanzibari pale Mudathir, yuko Ibrahim Bacca, Farid Musa wao hawanyanyaswi? Mchangieni aende CAS
 
Feisali sio mwehu kwamba from nowhere tu amchukie engineer, lazima Kuna kitu kibaya sana fei hataki kusema tu
Feisal ni mwehu, sakata lilianzia klabu moja ya tajiri iliposema inaweza kumchukua, msemaji wa Yanga akasema mchezaji wa Yanga hawezi kuchukuliwa kwa pesa za ukwaju.

Huyo bosi akaamua kumpa hela avunje mkataba kinyume cha sheria na taratibu kama unaacha kazi kampuni ya azam marine.

Kama siyo mwehu kwa nini hataki kusema hiyo sababu? Ni Wendawazimu wenye chuki za kichawi watamuunga mkono mpuuzi kijana wenu
 
Kwani hata kwenye ofisi za umma na taasisi binafsi si mabifu ya namna hiyo yapo?
Ni ajabu kukuta bifu ya mtu mmoja na kiongozi wake ndani ya taasisi?
Mimi binafsi ni shahidi kuna taasisi moja niliwahi fanya kazi kuna mfanyakazi mmoja alikuwa na bifu na boss, wengine wala hatukuwa na shida yoyote!
Kwa hiyo bifu lake na Hersi ndio anaenda CAS? Tumieni akili hata za kuazima
 
Jasmine anakuambia walifika Yanga mpk 30m dogo kagoma!!!kapelekkwa Kwa sheikh Walid kakataa kumsamehe injinia ni kipi kikubwa kisichosameheka?
Dah!...dogo alikosewa kipi kikubwa hivyo ?...🤔🤔
 
Hersi na Manara walikuwa na kesi TFF baada ya ule ujinga wa Manara siku ya mwananchi, TFF wakaificha ile kesi chini ya kapeti mpaka leo, mpaka hapo utaona vile TFF inatumiwa na baadhi ya watu kwa manufaa yao.
Roho mbaya za kichawi na tatizo la kuwa misinformed, alikuwa amefungiwa kwenye shughuli za mpira zinazosimamiwa na TFF.

lile lilikuwa tamasha lililoandaliwa na Yanga kama taasisi, na Manara alikuwa ni mc wa shughuli ile, hakuwa pale kama afisa habari wa Yanga kwa hiyo hoja ya mashtaka dhidi yake ikakosa mashiko.

Kwenye sakata la Morrison Yanga waliposhindwa hapo hapo TFF walikuwa wanafanya haki?
 
Urojo unawachanganya mnaleta ubishi wa kipemba?

Jitayarisheni kumchangia na faini mnafikiri CAS ni vikao vya CCM maskani mkunazini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hili povuuu vipiii sasa?? Khaaah
Hebu pumzika kwani,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeee kwa kutesekaaaaa, uwiiiiih
Nateseka mimi au yule mla urojo forothani?

Anachangisha hela aende CAS kupeleka kesi kalishwa ugali na sukari

Yuko tayari kuacha kucheza mpira aende kojani akawe mvuvi

Washauri na mashabiki wake mnahangaika kumchangia na kumtetea huku, halafu unaniambia nateseka? Nitake radhi mimi nawatia akili wajinga msiwe maandazi
 
Nateseka mimi au yule mla urojo forothani?

Anachangisha hela aende CAS kupeleka kesi kalishwa ugali na sukari

Yuko tayari kuacha kucheza mpira aende kojani akawe mvuvi

Washauri na mashabiki wake mnahangaika kumchangia na kumtetea huku, halafu unaniambia nateseka? Nitake radhi mimi nawatia akili wajinga msiwe maandazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Case ishafunguliwa huko CAS.
 
@NALIA NGWENA nitafurahi sana kama Eng HersI utakuja hadharani kuzungumza nini ulichomfanya Feisal lakini usipojibu mashabiki tutabaki na mashaka makubwa na kuwa wachezaji wetu huko avic town Kuna Mambo ya ajabu wanafanyiwa.

Nawasilisha hoja.
Akijibizana na Juha na yeye si ataonekana Juha?
 
Fei anaona kwamba habembelezwi Kwa kiwango kile alichotegemea.

Ni Kama mwanamke aliyebipu kuachika ili kupima upendo alionao mumewe lakini kakuta mume naye anakuwa sitaki nataka.

Kingine mafanikio ya Yanga yanamuuma Sana Fei Kumbuka Fei ni Kama EX na Na Ex huumia mno Kwa mafanikio ya mtalaka.
Akae hukohuko
Sisi wana Yanga hatumtaki hata hivyo [emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom