Eng Hersi Said Simamia Misingi ya Kanuni na Sheria za Mpira. Mshauri Rais Samia asivuke Mipaka

Kila mkataba uwe na release clause,kwamba timu ikimtaka mchezaji ilipe kiasi gani,
Kama Ulaya huko
Ko wachezaji wote hivi sasa kwenye mikataba yao wawe nakipengele hiko ili wakiona hawataki kuendelea na klabu zao basi wabadilishe TABIA au WAISALITI timu ili waachiwe huru kirahisi..?


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kauli ya Rais ni ya mwisho!
Swala la Fei limefikia tamati.
Ni swala la utekelezaji tu!
 
Kuingilia mambo ya kisoko Ni ujinga endapo sheria zitakanyagwa mm nitaiandikia caf barua kulalamika serekali ya Tanzania kuingilia mambo ya mpira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kimeumanaaaaaaaaa.
 
Rais wa nchi ni msemaji wa mwisho.

Tena mnatakiwa mkaombe msamaha.

Mjue tu kula mchele wake, kupokea mihela yetu ya kodi mpande ndege zetu bure halafu mmvimbie, dhubutu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wamekamatikaaaaa
 
Biriani, Pilau, Sharubati Zimeishia Kooni Wameshindwa Kumeza Kwa Uchungu Mwingi Hasa Rais Alipogonga Kisu Cha Uchungu Kuhusu Feitoto
Aachwe Aende Atakapo Bila Sharti, FIFA Wanawazoom Wanasiasa Tanzania
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hersi huko aliko anatamani kutapikaa pilau la ikulu, imeishaaaa hiyooooo
 
Hata nyie hamna ufahamu wowote wa mfuko gani uliotumika kutoa zile pesa la goli la Mama.

Feisali wiki hii ataachwa huru na vile vimidomo mlivyokuwa mnachonga kwa kujiona ma King Kong wa kufuata sheria now vitakata.
Nyie si mlisema Fei ana haki sasa hamuoni umuhimu wa kutafuta haki kwenye mamlaka za kisoka ili waliomfanyia dhuluma waadabishwe ?
 
Msijitoe ufahamu, kupewa nafasi ya kukaa ikulu kwa masaa kadhaa sio tiketi ya kumfikia Rais kwa wakati mwingine.
Mmepewa ushauri na maagizo kutatua sintofahamu kati yenu na mwajiriwa wenu wa zamani.
NB: Makubaliano bila "Uhuru" ni "Utumwa"
 
Wanataka kumponza Eng.wao yaani aanze kubishana na mamlaka ! Hilo swala la Fei hata mwezi hautaisha tutasikia limefika tamati
Feisali yuko huruu kuanzia jana usiku, bado kuweka wazi kwa umma tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu ni wakati wa Eng Hersi Said kuonyesha kwanini alichaguliwa na WANANCHi kusimamia maslahi ya Klabu Kubwa.
kategwa,kategeka, chezea muhimili uliochimbia chini nyinyieee....na asitekeleze kile alichoambiwa Mama tuone mwisho wake.
 
Hamkuona hili mlivyopewa ndege na kuitwa Ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…