Hapana me ni yanga lialiaHuyu naye atakuwa shabiki wa Simba aliyevaa jezi ya YangaView attachment 2381008
pole mwanangu, tushirikiane mashabiki wa yanga tusiende uwanjani ila kusisitiza suala letu la ushindani kimataifaHakuna siku nimeaibika kama leo mashabiki tunapewa hamasa za kipumbavu tunaenda uwanjani tunarudi na aibu.
Leo nimetamba mtaani nikaja hapa jf nimetamba sana kwenye nyuzi mbalimbali kule Twitter ndo usiseme .
Lakini timu imecheza ovyo imenifanya napita mtaani kwa kujificha kama panya bana.
Kiukweli huyu kocha aache kukariri kikosi ni lazima sasa bangala acheze namba 6 na mmoja kati ya Feisal au Aziz ki aanzie bench.
wewe ndo bora ukae kimya, yaani unaitetea yanga halafu inafanya madudu, we sijui yanga gani wwSijasoma chochote! This is what you deserve. [emoji706]
Maana hakuna shabiki wa Yanga anaweza kuja kuandika uvundo kama huu wa kwako. Na ukome kujifanya mwananchi. Baki huko huko na tabia zako za kimbumbumbu.
Na kudhihirisha wewe ni bongotole! Eti umemtaja mpaka SENZO, akuachie timu yako!!
Unalipa mshahara wa nani pale Yanga?Naibiwa nini?Ujinga mzigowe ndo mjinga, unapumbazwa na mechi za ligi kuu! shtuka unaibiwa
#๐ฃ๐๐๐ ๐ค๐ช๐ฉ
#๐๐๐ง๐จ๐ ๐ค๐ช๐ฉ
Yanga ni timu ya kawaida ila Mnaaminishwa kwa nguvu kubwa kuwa Timu yenu ni nzuri.CAF hakuna bahasha mkuu๐คฃ๐คฃ๐คฃ CAF watu wanavunja BANk! Kama wachezaji wameahidiwa $5000 kwa kila mtu kama wataifunga Yanga wakimtaka Refa mnaweza kupindua meza?Ina maana simba iko vizuri kuzidi Yanga!!? Mbona wao wanafanya vizuri kila kukicha!!??
Mbona huwa tunawafunga sana!!??
Ni kweli kaka huu mchezo wa bahasha na miamala unachezwa na hersi pamoja na GSM, na tumeugundua kwakweliYanga ni timu ya kawaida ila Mnaaminishwa kwa nguvu kubwa kuwa Timu yenu ni nzuri.CAF hakuna bahasha mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] CAF watu wanavunja BANk! Kama wachezaji wameahidiwa $5000 kwa kila mtu kama wataifunga Yanga wakimtaka Refa mnaweza kupindua meza?
Mkuu Tariq f kumbuka pale ni mchujo wa kubaki na timu 16 tu. Uwezo na uzoefu ndio kigezo. Tazama uwezo wa Al hilal kipindi cha pili.mkuu OKW BOBAN SUNZU naanza kuwaheshimu simba, kumbe kufuzu makundi sio kazi ndogo
#๐๐๐ง๐จ๐ ๐ค๐ช๐ฉ
#๐ฃ๐๐๐ฎ ๐ค๐ช๐ฉ