Eng. Hersi, Senzo na Kocha Nabi tunaomba mtuachie klabu yetu!

Eng. Hersi, Senzo na Kocha Nabi tunaomba mtuachie klabu yetu!

Hakuna siku nimeaibika kama leo mashabiki tunapewa hamasa za kipumbavu tunaenda uwanjani tunarudi na aibu.

Leo nimetamba mtaani nikaja hapa jf nimetamba sana kwenye nyuzi mbalimbali kule Twitter ndo usiseme .
Lakini timu imecheza ovyo imenifanya napita mtaani kwa kujificha kama panya bana.

Kiukweli huyu kocha aache kukariri kikosi ni lazima sasa bangala acheze namba 6 na mmoja kati ya Feisal au Aziz ki aanzie bench.
pole mwanangu, tushirikiane mashabiki wa yanga tusiende uwanjani ila kusisitiza suala letu la ushindani kimataifa

#๐™ฃ๐™–๐™—๐™ž ๐™ค๐™ช๐™ฉ
#๐™๐™š๐™ง๐™จ๐™ž ๐™ค๐™ช๐™ฉ
 
Simba gani unayotamani mafanikio yake?
Ebu tutolee uchuro hapa!!
uchuro!!?? kweli aliyeturoga yanga kafa

#๐™ฃ๐™–๐™—๐™ž ๐™ค๐™ช๐™ฉ
#๐™๐™š๐™ง๐™จ๐™ž ๐™ค๐™ช๐™ฉ
 
Sijasoma chochote! This is what you deserve. [emoji706]

Maana hakuna shabiki wa Yanga anaweza kuja kuandika uvundo kama huu wa kwako. Na ukome kujifanya mwananchi. Baki huko huko na tabia zako za kimbumbumbu.


Na kudhihirisha wewe ni bongotole! Eti umemtaja mpaka SENZO, akuachie timu yako!!
wewe ndo bora ukae kimya, yaani unaitetea yanga halafu inafanya madudu, we sijui yanga gani ww
bora usishabikie klabu yetu

#๐™ฃ๐™–๐™—๐™ž ๐™ค๐™ช๐™ฉ
#๐™๐™š๐™ง๐™จ๐™ž ๐™ค๐™ช๐™ฉ
 
[emoji1787][emoji1787]
Yanga wenzangu tusijichekeshe jamani tupambane tupate uongozi mpya

#๐™ฃ๐™–๐™—๐™ž ๐™ค๐™ช๐™ฉ
#๐™๐™š๐™ง๐™จ๐™ž ๐™ค๐™ช๐™ฉ
 
Dahhhhh inauma sana. Hali ya kimataifa inanajisi matokeo mazuri ya ligi na kuonekana ni matokeo ya bahasha.Inakera sana
ni kweli kabisa kaka

#๐™ฃ๐™–๐™—๐™ž ๐™ค๐™ช๐™ฉ
#๐™๐™š๐™ง๐™จ๐™ž ๐™ค๐™ช๐™ฉ
 
Acha kuvuta bangi. Haikupendi.
bangi vipi, we baba huna hoja nakufuatilia sana, bora ukae kimya

Tate Mkuu out
#๐™ฃ๐™–๐™—๐™ž ๐™ค๐™ช๐™ฉ
#๐™๐™š๐™ง๐™จ๐™ž ๐™ค๐™ช๐™ฉ
 
bangi vipi, we baba huna hoja nakufuatilia sana, bora ukae kimya

Tate Mkuu out
#๐™ฃ๐™–๐™—๐™ž ๐™ค๐™ช๐™ฉ
#๐™๐™š๐™ง๐™จ๐™ž ๐™ค๐™ช๐™ฉ
Tatizo wewe siyo shabiki wa Yanga! Na ndiyo maana mashabiki halisi wa Yanga tunakushangaa!
 
we ndo mjinga, unapumbazwa na mechi za ligi kuu! shtuka unaibiwa

#๐™ฃ๐™–๐™—๐™ž ๐™ค๐™ช๐™ฉ
#๐™๐™š๐™ง๐™จ๐™ž ๐™ค๐™ช๐™ฉ
Unalipa mshahara wa nani pale Yanga?Naibiwa nini?Ujinga mzigo
 
Tatizo wewe siyo shabiki wa Yanga! Na ndiyo maana mashabiki halisi wa Yanga tunakushangaa!
Yanga wote wananiunga mkono, kasoro.wewe tu! yaani kweli we umekubaliana na jina la chura fc

Tate Mkuu out
#๐™ฃ๐™–๐™—๐™ž ๐™ค๐™ช๐™ฉ
#๐™๐™š๐™ง๐™จ๐™ž ๐™ค๐™ช๐™ฉ
 
Unalipa mshahara wa nani pale Yanga?Naibiwa nini?Ujinga mzigo
naomba nikuulize maswali matatu we KAGAMEE
Je, we ni shabiki wa yanga kweli?
Je, huoni wivu simba anavyotoboa anga?
Je, una akili timamu?
 
Waondoke alafu mdhamini uwe wewe

Ova
Tusipende dezo na vya bure yanga, wadhamini wapo wengi sio lazima hao

#๐™๐™š๐™ง๐™จ๐™ž ๐™ค๐™ช๐™ฉ
#๐™ฃ๐™–๐™—๐™ž ๐™ค๐™ช๐™ฉ
 
mkuu OKW BOBAN SUNZU naanza kuwaheshimu simba, kumbe kufuzu makundi sio kazi ndogo

#๐™๐™š๐™ง๐™จ๐™ž ๐™ค๐™ช๐™ฉ
#๐™ฃ๐™–๐™—๐™ฎ ๐™ค๐™ช๐™ฉ
 
Ina maana simba iko vizuri kuzidi Yanga!!? Mbona wao wanafanya vizuri kila kukicha!!??
Mbona huwa tunawafunga sana!!??
Yanga ni timu ya kawaida ila Mnaaminishwa kwa nguvu kubwa kuwa Timu yenu ni nzuri.CAF hakuna bahasha mkuu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ CAF watu wanavunja BANk! Kama wachezaji wameahidiwa $5000 kwa kila mtu kama wataifunga Yanga wakimtaka Refa mnaweza kupindua meza?
 
Yanga ni timu ya kawaida ila Mnaaminishwa kwa nguvu kubwa kuwa Timu yenu ni nzuri.CAF hakuna bahasha mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] CAF watu wanavunja BANk! Kama wachezaji wameahidiwa $5000 kwa kila mtu kama wataifunga Yanga wakimtaka Refa mnaweza kupindua meza?
Ni kweli kaka huu mchezo wa bahasha na miamala unachezwa na hersi pamoja na GSM, na tumeugundua kwakweli

#๐™๐™š๐™ง๐™จ๐™ž ๐™ค๐™ช๐™ฉ
#๐™ฃ๐™–๐™—๐™ž ๐™ค๐™ช๐™ฉ
 
Tatizo la utopolo hili hapa;
1. Kununua marefa
2. Kununua mechi/ kununua wachezaji wa timu pinzani wafakishe
3. Hawana watu wa mpira.. angalia pale simba kuna kina Mulamu, Kaduguda, Magori, Kassim Dewji nk. Ambao wanajua fitna za mpira wa kimataifa
4. Kubweteka na historia kuwa Utopolo ni timu kubwa, wakati hata kwenye timu 70 bora Africa haipo
5. Hamna timu ya scouting nzuri. Nyinyi mliona pale Vita club ndo shamba la bibi
Kubalini kujifunza kwa Simba, mlimchukua Senzo, Manara na yule kocha wa makipa... lakin zile sio engine zilizokuwa zinaipa mafanikio simba. Mna safari ndefu Sana
 
mkuu OKW BOBAN SUNZU naanza kuwaheshimu simba, kumbe kufuzu makundi sio kazi ndogo

#๐™๐™š๐™ง๐™จ๐™ž ๐™ค๐™ช๐™ฉ
#๐™ฃ๐™–๐™—๐™ฎ ๐™ค๐™ช๐™ฉ
Mkuu Tariq f kumbuka pale ni mchujo wa kubaki na timu 16 tu. Uwezo na uzoefu ndio kigezo. Tazama uwezo wa Al hilal kipindi cha pili.

Mara chache sana kupenya kwa zali kama Jwaneng Galaxy mwaka jana
 
Back
Top Bottom