Eng. Hersi, Senzo na Kocha Nabi tunaomba mtuachie klabu yetu!

Eng. Hersi, Senzo na Kocha Nabi tunaomba mtuachie klabu yetu!

MAKOLO siku mkichukua kombe lolote la CAF nimekaa pale mniite JIBWA [emoji117][emoji38]

Maana si midomo hiyo Ndugu zangu MAKOLOKOLO FC A.K.A MBUMBUMBU [emoji13]

Mkiumaliza mwendo salama kumbukeni kulipa mihela ya kocha wenu
 
Mkuu kuna mashabiki wamelalamika sana jana kwenye media za online kibao tu huko you tube..mojawapo ni jamaa mmoja anaitwa jimmy mafufu ni producer mkubwa wa movie hapa bongo ni yanga lia lia kabisa ila jana katukana hadi matusi ya nguoni..unaamini na yeye ni KOLO MWENZETU??
Mimi namshangaa huyu mtu anaejiita tate mkuu, ana quote hoja zangu kwa ujinga wakati nimeshamgundua kuwa yeye ni mpwayungu village, hii ni id yake nyingine

#@Tate Mkuu out
#𝙝𝙚𝙧𝙨𝙞 𝙤𝙪𝙩
#𝙣𝙖𝙗𝙞 𝙤𝙪𝙩
 
Ukimuoa Mama yako kwa mara ya 1000 inatosha sana maana atakuwa ameshaota nakoz za ukahaba na laana popote pale duniani [emoji16]

Kisa utani wa soka unamtusi mtanzania mwenzio matusi kama haya lol!!!UMEYUMBA SANA MZEE
 
Mtoa uzi ni mjinga asiyejua lolote senzo yuko Yanga?au umelipwa uje kuleta majungu
 
Mimi namshangaa huyu mtu anaejiita tate mkuu, ana quote hoja zangu kwa ujinga wakati nimeshamgundua kuwa yeye ni mpwayungu village, hii ni id yake nyingine

#@Tate Mkuu out
#𝙝𝙚𝙧𝙨𝙞 𝙤𝙪𝙩
#𝙣𝙖𝙗𝙞 𝙤𝙪𝙩

Namfahamu sana huyu jamaa ana ushabiki wa ajabu sana iko siku ataua mtu kwa sababu ya yanga..jamani hizi ni timu tuuu sio baba zetu wala mama zetu wakifanya vibaya tuwakosoe tuu hakuna namna
 
Na Ni kichaa kweli HV anadhani kuendesha club Ni rais rais mm naona hata gsm akivhukuwaa moja kwa moja na Kisha kumkabidh mwanae hakn shida Sina hell za kuachnagia yanga

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Akili zako ni sawa na pic ya ID yako

#𝙝𝙚𝙧𝙨𝙞 𝙤𝙪𝙩
#𝙣𝙖𝙗𝙞 𝙤𝙪𝙩
 
Namfahamu sana huyu jamaa ana ushabiki wa ajabu sana iko siku ataua mtu kwa sababu ya yanga..jamani hizi ni timu tuuu sio baba zetu wala mama zetu wakifanya vibaya tuwakosoe tuu hakuna namna
Naomba aongee vitu vya msingi na sio kuleta ujinga wake hapa, tusije kumpunguza akili inawezekana ni mtu mzima
 
Unbeaten mechi 50 kwa yanga epuka matapeli sisi ndo yanga team bora east Africa.
 
Habarini Wanajangwani wenzangu.

Tunajenga kikosi cha aina gani!?
Kwanini kimataifa kila siku iwe kilio kwetu!?

Hapana. Tunahitaji mabadiliko ndani ya klabu yetu, kuanzia uongozi, wachezaji mpaka benchi la ufundi. Tunahitaji kikosi kitakachotoa upinzani kwa timu za kimataifa na si kutamba Ligi Kuu peke yake.

Kuna muda najisikia wivu ninavyoona wenzetu Simba wanavyotinga mpaka hatua za robo fainali michuano ya Africa, lakini nabaki sina namna kwa sababu Yanga niliirithi mwenyewe kwa baba angu.

Ila ni mpaka lini tutaitwa majina ya kukera na wapinzani huko mitaani kama wamatopeni, utopolo, chura fc, wazee miamala n.k? Yaani kila siku yanga ndiyo iwe timu ya kubinuliwa na wapinzani kimataifa. Hapana, imetosha sasa!

Naanza kuamini viongozi mnafanya tabia chafu za kununua mechi za Ligi Kuu, maana haiwezekani michuano ya nje ndiyo tushindwe ila ya ndani tumudu.

Kwa pamoja tushirikiane kuutoa huu uongozi madarakani, ikiwezekana Wanajangwani tusiende uwanjani, maana ndiyo kunapowapa viburi.

Tunaomba mtuachie timu yetu,
Daima mbele nyuma mwiko
Wakiwaachia ndio jina la utopolo litaisha?

Yanga hakuna timu ya kuweza kushindana klabu Bingwa bali kuwafunga kina Ruvu shooting nk.
 
Pole sana Senzo mbona alishasepa!

Tatizo hamuishii kununua mechi tu,ila na wachambuzi kwa ajili ya propaganda na uongo uongo wa mwingi.

Ingekuwa leo ni mwamuzi wa hapa kwetu,angelaumiwa Karia sana.
Lakini hizi ndiyo mechi za kimataifa
Mchawi wao ni Manara tu mimi namuita Mohamed El Sahaf yule Waziri wa habari wa Sadam Husein. Alikuwa a ona majeshi ya America kwa macho ya nyama yalivyo karibia Baghdad lakini yeye aliwaaminisha Wairaq kuwa jeshi laolinawaangamiza Wamarekani huko jangwani. Manara anasema kikosi cha Yanga mwaka huu kina fika nusu fainali au kuchukua ubigwa wa Africa. 'Hamida' ana mambo na kuwa Yanga itachukua ubigwa wa Tanzania back to back for ten years.
 
Back
Top Bottom