aikamatemu
JF-Expert Member
- Jan 29, 2020
- 464
- 1,897
Kaka hii ina sumbua vitu vingi. Kwanza kuna sensor imekufa linajia accelerate mpaka inaweza fika 100km/hr bila kukanyaga mafuta. Inabidi ung’ang’anie break na steering kama unaendesha farasi.
Pili ina chemsha balaa. Tatu gear box, niliwahi pamia tuta nikiwa 140, lile oil pan katika gearbox ikapinda basi inavujisha oil ya gearbox. Kwa ujumla gharama za kutengeneza kubwa sana
Akifunga RB26DETT itakuwa si mchezo.Hiyo VW yako inabidi uweke injini ya 3s-gte ndio itafanya vizuri. Ambayo imetumika kwenye Toyota Caldina,Alteza na Celica.
Kama ni mtunzaji mzuri wa gari tafuta engine ya Nissan Skyline RB26DETT ukifunga hii performance ni kubwa zaidi hata ya injini hiyo ya awali ya Golf.
Ni injini yenye nguvu na speed kubwa.Akifunga RB26DETT itakuwa si mchezo.
Ok sawa ila Mimi naamini Benz ina radha tofauti sana asikwambie mtu na pia Benz wanatoa gari kila mwezi Kama upepo vile tena za maana ni vile kwetu Kodi mlima ndio maana tutazisikia sana kwenye mtandao ila hizo mashine ni vyombo aiseee... Mercedes Benz mimi naona Benz mpya machoni mwangu kila siku napokua road tena za maana unachoka wewe upende na kuchagua ipiMjereumani, ila competito wa hiyo gari ni BMW 7 Series, Audi A8, Lexus Ls 600h, na Jaguar XJ.. hata ukiangalia uchambuzi wa Topgear
Upo sahihi, Merced Benz wapo vizuri sana, na ndio maana hata viongozi wa mataifa huzitumiaOk sawa ila Mimi naamini Benz ina radha tofauti sana asikwambie mtu na pia Benz wanatoa gari kila mwezi Kama upepo vile tena za maana ni vile kwetu Kodi mlima ndio maana tutazisikia sana kwenye mtandao ila hizo mashine ni vyombo aiseee... Mercedes Benz mimi naona Benz mpya machoni mwangu kila siku napokua road tena za maana unachoka wewe upende na kuchagua ipi
Huwa nashangaa sana eti mtu anakwambia kati ya Audi A 8 na Benz ipi bora zaidi...ntakuja kutupia uzi ambao Benz zinazosumbua hizi hatchback na matoleo mengine ni hatari huyo mdudu..Upo sahihi, Merced Benz wapo vizuri sana, na ndio maana hata viongozi wa mataifa huzitumia
MaybachUsema kweli mjerumani ana machine zake za kibabe sana, katika madaraja flani anayo yalenga. Ila Toyota nae ni mkali sana kwa madaraja yake.pia.
Hii kitu chini hadi leo navua shati kwa mjeru.. aliumba na ikaumbika.. sema pesa hapa ndio keshesheView attachment 1703327
Usema kweli nachojua Mercedez Benz anakitu chake cha kipekee. Ingawa sio kwamba kila gari yake ni nzuri zaidi kuliko gari za manufacture wengine, ila ana gari nzuri haswa ambazo huwezi weka ligi na gari zingine, mfano hizo Mercedez Myabach series zile gari huwezi fananisha na gari yoyote na hata kuna S Class au S AMG .. zile gari kaa nazo pembeni kabisa sio za kufananisha na gari zingineHuwa nashangaa sana eti mtu anakwambia kati ya Audi A 8 na Benz ipi bora zaidi...ntakuja kutupia uzi ambao Benz zinazosumbua hizi hatchback na matoleo mengine ni hatari huyo mdudu..
Hiyo kitu mmmh! Watu wametoa ukinunua hiyo uje ukutane na kodi ya TRA utafurahi na roho yako mwenyeweMaybach
Muda mwingi hoja za magari naziacha kwa sababu wengi wameona matokeo ya Benz ya nyuma kidogo aisee Mercedes Benz katoa pick up moja ni X nadhani ina nguvu sana kuliko Ford Cobra wala Toyota chui walizotoa sasa hivi ina mapumziko kweli ligi nyingi za humu ni za gari anayotumia ukimwambia hiyo hapana anaona Kama umemkebehi ipo hiyo X pick up ya Benz walitoa mwaka 2018 ni hatari mno ina nguvu,imara na starehe sana hapa SA penyewe hukutani nazo mara kwa mara ni gari kweli kweli...Usema kweli nachojua Mercedez Benz anakitu chake cha kipekee. Ingawa sio kwamba kila gari yake ni nzuri zaidi kuliko gari za manufacture wengine, ila ana gari nzuri haswa ambazo huwezi weka ligi na gari zingine, mfano hizo Mercedez Myabach series zile gari huwezi fananisha na gari yoyote na hata kuna S Class au S AMG .. zile gari kaa nazo pembeni kabisa sio za kufananisha na gari zingine
Kuna mwamba nilimkuta nayo hiyo chuma pale Mlimani City , na bado ilikuwa na plate number za GautengMuda mwingi hoja za magari naziacha kwa sababu wengi wameona matokeo ya Benz ya nyuma kidogo aisee Mercedes Benz katoa pick up moja ni X nadhani ina nguvu sana kuliko Ford Cobra wala Toyota chui walizotoa sasa hivi ina mapumziko kweli ligi nyingi za humu ni za gari anayotumia ukimwambia hiyo hapana anaona Kama umemkebehi ipo hiyo X pick up ya Benz walitoa mwaka 2018 ni hatari mno ina nguvu,imara na starehe sana hapa SA penyewe hukutani nazo mara kwa mara ni gari kweli kweli...
Sasa kaka si ununue vifaa vinavyotakiwa. Kama hiyo sensor, bakuli chini na kuvireplace..... Ina mileage kiasi gani?!Kaka hii ina sumbua vitu vingi. Kwanza kuna sensor imekufa linajia accelerate mpaka inaweza fika 100km/hr bila kukanyaga mafuta. Inabidi ung’ang’anie break na steering kama unaendesha farasi.
Pili ina chemsha balaa. Tatu gear box, niliwahi pamia tuta nikiwa 140, lile oil pan katika gearbox ikapinda basi inavujisha oil ya gearbox. Kwa ujumla gharama za kutengeneza kubwa sana
Sawa sawa vijana wengi wana gari za hatari sana hiyo chuma bei ya used unapata Ford mpya..Kuna mwamba nilimkuta nayo hiyo chuma pale Mlimani City , na bado ilikuwa na plate number za Gauteng
Mafundi wa kufanya hayo mautundu na ikarudi katika form wapo kweli? Na je bei zao zikoje?Hiyo VW yako inabidi uweke injini ya 3s-gte ndio itafanya vizuri. Ambayo imetumika kwenye Toyota Caldina,Alteza na Celica.
Kama ni mtunzaji mzuri wa gari tafuta engine ya Nissan Skyline RB26DETT ukifunga hii performance ni kubwa zaidi hata ya injini hiyo ya awali ya Golf.
Mafundi wapo wakina GTP, Autobot garage.Mafundi wa kufanya hayo mautundu na ikarudi katika form wapo kweli? Na je bei zao zikoje?
Kwa mfano nataka kubadilisha engine ya 1JZ cc2500 ya Brevis kwa Engine na gear Box ya Premio au Allion 1ZZ inawezekana?