DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,805
- 4,107
Ilikua ina km ngapi na ratio ya mafuta imechange kwa ratio gani?Mi nilikuwa natumia 20w50 ila nikaweka 5w30 nimeona very big improvement kwenye consumption ya mafuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikua ina km ngapi na ratio ya mafuta imechange kwa ratio gani?Mi nilikuwa natumia 20w50 ila nikaweka 5w30 nimeona very big improvement kwenye consumption ya mafuta.
Ilikua ina km ngapi na ratio ya mafuta imechange kwa ratio gani?
Pia usitumie 20W kwenye low mileage cars na newest cars,inaweza pelekea damage kwenye engine.Kwa kuongezea ni kwamba engine components nyingi za high mileage cars Huwa zinakuwa zimechoka na hivyo kupelekea leaks,lakini kutokana na 20W oil kuwa nzito hupunguza chance ya leakage at high temperatures.Its a tricky topic in fact my friend.
nakubaliElimu ya car maintenance. Ni muhim sana
Kwa sasa.
Forums Kama jamiiforums imeendelea kuwa mkombozi sana
And so elimu ya oil pia ni muhimu mno
Inakuta gari ina sauti sio poa kwenye engine
Lakin ukifuatilia unakuta ni oil iliyowekwa sio poa
Tujifunze kusoma manual za magari
Ama kuitumia google kuuliza recommended oil za kwenye gari zetu
Mafundi wengi hawana elimu ya kutosha juu ya oil za magari
Wao wanajua kuweka oil yeyote
Na hii uleta shida mno.
Gari nyingi za Japan engine ndogo
Nyingi zinataka
0w30
5w30
5w40 miliage zikiwa juu
Ila anga tunachopewa mtaan sasa
Ni balaaa tupu
Verisa je ipi ni oil nzur ya kutumiaKama engine bado ina hali nzuri <18,000km Tumia mult grade full synthetic 5w-30 ukiikosa chukua 10w-30 achana na SAE 40 hizo ni monograde zina himili joto kali tu, alafu ni nzito hivyo usambaaji wake sio nzuri kwenye ingini hasa pale unapowasha gari hivyo ingine kuwa nzito na kusagika kwa vyuma. Hiyo ni nzuri kwa gari zinazopiga kazi mda mrefu ka daladala au yale ambayo yalishachoka tayari ili kuhimili joto kubwa la ingini na kuzuia friction