Engine oil gani ni nzuri kwa Gari aina ya IST?

Fundi Maiko katika ubora wako wa kukariri eti high milage cars unaweka 20w
 
Elimu ya car maintenance. Ni muhim sana
Kwa sasa.
Forums Kama jamiiforums imeendelea kuwa mkombozi sana
And so elimu ya oil pia ni muhimu mno
Inakuta gari ina sauti sio poa kwenye engine
Lakin ukifuatilia unakuta ni oil iliyowekwa sio poa
Tujifunze kusoma manual za magari
Ama kuitumia google kuuliza recommended oil za kwenye gari zetu
Mafundi wengi hawana elimu ya kutosha juu ya oil za magari
Wao wanajua kuweka oil yeyote
Na hii uleta shida mno.
Gari nyingi za Japan engine ndogo
Nyingi zinataka
0w30
5w30
5w40 miliage zikiwa juu
Ila anga tunachopewa mtaan sasa
Ni balaaa tupu
 
nakubali
 
Mazda
Verisa je ipi ni oil nzur ya kutumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…