Engine ya Toyota inayoweza kuvaa kwenye TATA PICK-UP

Ezeki62

New Member
Joined
Dec 5, 2023
Posts
4
Reaction score
6
Waungwana habari zenu. Naombeni ushauri,nina gari yangu TATA XENON DICOR 3.0L. Nahitaji kuibali Engine niweke injini ya Toyota. Je niweke injini gani inaweza kuwa poa.?
 
5.L ni injini bora na ina nguvu sana
 
Habari wakuu
Vp kufunga engine yenye kuanzia cc 1700 to 1900 kwenye gari ya mark ii ambayo engine yake bm 200?
 
Back
Top Bottom