Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mjomba naye ni Mama piaMtoto wa mjomba sio mdogo wako.
Ndio kitu pekee uliona cha kuchangia hicho mkuu?Mtoto wa mjomba sio mdogo wako.
Watu wengine bwana......yaani mada iko wazi ila yeye anatoka nje kabisaNdio kitu pekee uliona cha kuchangia hicho mkuu?
Analipia kitu ambacho alikuwa hatumii......kwanini wasianzie hapo aliporudi?Inaachaje Kuwa sawa ?
Siku hizi kila sekta ya serikali ni TRA ndogo. Alipie tu maana ni kwa manufaa yake na familia yake.Huyu Ni Mdogo wangu Mtoto wa Mjomba.
Alikiwa Injinia wa ujenzi akifanya kazi Nchini Kenya kwa miaka 10 sasa.
Akiwa huko alikuwa akilipia ada ya usajiri na leseni kama kawaida.
Sasa amerudi Nchini miezi miwili iliyopita. Kwa kuwa amepata kazi shirika lingine la kimataifa la Ujenzi ametakiwa kurenew leseni.
Cha kushangaza ameambiwa lazima alipie ada za miaka yote aliyokuwa nje ya Nchi.
Je ina maana walitaka awe analipa Kenya na huku Tanzania?
Je huu sio upigaji?
Sawa swali haliongelei manufaa bali Usahihi wa hiyo huduma je ni haki?Siku hizi kila sekta ya serikali ni TRA ndogo. Alipie tu maana ni kwa manufaa yake na familia yake.
Imagine we ni Dereva umeacha kazi za udereva ukafanya shuguli za kilimo. Je unalipa lesini ya nini?Tatizo la nchi yetu kila kitu ni fursa. Wanamuwekea mazingira ya kumtolesha pesa.
Huyo mdogo wako atakuwa amekuja kweye kampeni za uchaguzi mkuu kwa kuwasapoti wapinzani!!!!" ni mawazo tu!!Huyu Ni Mdogo wangu Mtoto wa Mjomba.
Alikiwa Injinia wa ujenzi akifanya kazi Nchini Kenya kwa miaka 10 sasa.
Akiwa huko alikuwa akilipia ada ya usajiri na leseni kama kawaida.
Sasa amerudi Nchini miezi miwili iliyopita. Kwa kuwa amepata kazi shirika lingine la kimataifa la Ujenzi ametakiwa kurenew leseni.
Cha kushangaza ameambiwa lazima alipie ada za miaka yote aliyokuwa nje ya Nchi.
Je ina maana walitaka awe analipa Kenya na huku Tanzania?
Je huu sio upigaji?
Bahati mbaya watoza ushuru wakiwa wanatoza wanaangalia kufikia malengo waliowekewa na sio uhalali wa wanachokikusanya. Nishawahi tozwa service levy na halmashauri ambayo hainipatii leseni ya biashara kisa tu wanatafuta mapato🤣🤣🤣🤣. Yaani nilifanya nao biashara wakakata na service levy wakati inatakiwa nikailipe ninapokatia leseni.Sawa swali haliongelei manufaa bali Usahihi wa hiyo huduma je ni haki?
AiseeBahati mbaya watoza ushuru wakiwa wanatoza wanaangalia kufikia malengo waliowekewa na sio uhalali wa wanachokikusanya. Nishawahi tozwa service levy na halmashauri ambayo hainipatii leseni ya biashara kisa tu wanatafuta mapato🤣🤣🤣🤣. Yaani nilifanya nao biashara wakakata na service levy wakati inatakiwa nikailipe ninapokatia leseni.
Ahaa kumbe kuna kusimamisha? Je akiwa Nje angefanyaje?Hilo injinia analijua vizuri. Alichofanya ni "default" hivyo anapaswa kulipia. Kipindi alivyokua nje alitakiwa kusimamisha leseni yake na sio kuiacha tu!
Hahaha......mbona havihusiani?Huyo mdogo wako atakuwa amekuja kweye kampeni za uchaguzi mkuu kwa kuwasapoti wapinzani!!!!" ni mawazo tu!!
Kuwa nje alijikuta tu au alijua...hivyo alipaswa kusimamisha kabla hajaacha tu leseni yake kienyejiAhaa kumbe kuna kusimamisha? Je akiwa Nje angefanyaje?
Kama ni mama nendeni akawanyonyeshe..Mjomba naye ni Mama pia