Engineer aliyekuwa akifanya kazi Nje ya Nchi amerudi, ameambiwa alipie leseni yake madeni ya miaka yote aliyokuwa nje. Je hii ni Sawa au ni Upi

Engineer aliyekuwa akifanya kazi Nje ya Nchi amerudi, ameambiwa alipie leseni yake madeni ya miaka yote aliyokuwa nje. Je hii ni Sawa au ni Upi

Huyu Ni Mdogo wangu Mtoto wa Mjomba.

Alikiwa Injinia wa ujenzi akifanya kazi Nchini Kenya kwa miaka 10 sasa.

Akiwa huko alikuwa akilipia ada ya usajiri na leseni kama kawaida.

Sasa amerudi Nchini miezi miwili iliyopita. Kwa kuwa amepata kazi shirika lingine la kimataifa la Ujenzi ametakiwa kurenew leseni.

Cha kushangaza ameambiwa lazima alipie ada za miaka yote aliyokuwa nje ya Nchi.

Je ina maana walitaka awe analipa Kenya na huku Tanzania?

Je huu sio upigaji?
kwani akilipa kuna tatizo gani? au ndo mnataka kutuchangisha tena mumeifanya chadema chumaulete
 
Back
Top Bottom