Engineer aliyekuwa akifanya kazi Nje ya Nchi amerudi, ameambiwa alipie leseni yake madeni ya miaka yote aliyokuwa nje. Je hii ni Sawa au ni Upi

Kuwa nje alijikuta tu au alijua...hivyo alipaswa kusimamisha kabla hajaacha tu leseni yake kienyeji
Okay hili ni swala jipya ambalo najua watu wengi hawalijui sio tu Maingineer pengine hata kada zingine kama Sheria, PR, HR nk.
 
Wamemuonea wivu na chuki mbaya
Hio ni dhulma wanataka kumfanyia
Ningekua mimi yeye abadilishe uraia aondoke tu kuna fursa nyingi sana kwa profeshen yake huko nje ya nchi.
 
Ukindoa swala la wivu je nini afanye?
 
Huyu Ni Mdogo wangu Mtoto wa Mjomba.

Alikiwa Injinia wa ujenzi akifanya kazi Nchini Kenya kwa miaka 10 sasa.

Akiwa huko alikuwa akilipia ada ya usajiri na leseni kama kawaida.

Sasa amerudi Nchini miezi miwili iliyopita. Kwa kuwa amepata kazi shirika lingine la kimataifa la Ujenzi ametakiwa kurenew leseni.

Cha kushangaza ameambiwa lazima alipie ada za miaka yote aliyokuwa nje ya Nchi.

Je ina maana walitaka awe analipa Kenya na huku Tanzania?

Je huu sio upigaji?
= usajili.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Huyu Ni Mdogo wangu Mtoto wa Mjomba.

Alikiwa Injinia wa ujenzi akifanya kazi Nchini Kenya kwa miaka 10 sasa.

Akiwa huko alikuwa akilipia ada ya usajiri na leseni kama kawaida.

Sasa amerudi Nchini miezi miwili iliyopita. Kwa kuwa amepata kazi shirika lingine la kimataifa la Ujenzi ametakiwa kurenew leseni.

Cha kushangaza ameambiwa lazima alipie ada za miaka yote aliyokuwa nje ya Nchi.

Je ina maana walitaka awe analipa Kenya na huku Tanzania?

Je huu sio upigaji?
ni muhimu aketi chini na wahusika, wakubaliane namna ya kulipa na aendelee na kazi vinginevyo kutafuta huruma kutamchelewesha na kuibua vitu vingine ambavyo inaweza kua ni kuharibu kazi ambayo tayari ameipata 🐒
 
Huu ni ushauri mzuri.....hata kwa kulipa kidogo kidogo
 
Kuna hafla Moja, umoja wa mainjinia tanganyika wamemuahidi bi kifo ni kifo tu kipepeo ya kufanyia kampeni kwahyo hakuna namna alipe tu ili hela ya mafuta ipatikane pia.
 
Huyu Ni Mdogo wangu Mtoto wa Mjomba.

Alikiwa Injinia wa ujenzi akifanya kazi Nchini Kenya kwa miaka 10 sasa.

Akiwa huko alikuwa akilipia ada ya usajiri na leseni kama kawaida.

Sasa amerudi Nchini miezi miwili iliyopita. Kwa kuwa amepata kazi shirika lingine la kimataifa la Ujenzi ametakiwa kurenew leseni.

Cha kushangaza ameambiwa lazima alipie ada za miaka yote aliyokuwa nje ya Nchi.

Je ina maana walitaka awe analipa Kenya na huku Tanzania?

Je huu sio upigaji?
Akalipe
 
Naona ni sawa kabisa kulipia kwani KILA LESENI inautaratibu wake
Kwa kuwa huyu muheshimiwa alipata dili la kulipa nje ya nchi kwa kutumia leseni ya hapa nyumbani, tatizo lipo wapi kuilipia? au niseme, alitakiwa awe anailipia kila mwaka ili iendelee kuwa hai...
Sawa tu na wanasheria wanavyo lipia leseni zao kila mwaka nk
 
Naona ni sawa kabisa kwani kila leseni inautaratibu wake
Kwa kuwa huyu muheshimiwa alipata dili la kulipa nje ya nchi kwa kutumia leseni ya hapa nyumbani, tatizo lipo wapi kuilipia, au niseme; alitakiwa awe anailipia kila mwaka ili iendelee kuwa hai...
Sawa tu na wanasheria wanavyo lipia leseni zao nk nk nk
Lakini alikuwa analipia huko alikokuwa anapractise.....ndio maana inaitwa ni Practising License
 
Back
Top Bottom