Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
-
- #21
Okay hili ni swala jipya ambalo najua watu wengi hawalijui sio tu Maingineer pengine hata kada zingine kama Sheria, PR, HR nk.Kuwa nje alijikuta tu au alijua...hivyo alipaswa kusimamisha kabla hajaacha tu leseni yake kienyeji
HahahKama ni mama nendeni akawanyonyeshe..
Akiwa huko alikuwa akilipia ada ya usajiri na leseni kama kawaida. βοΈ
Cha kushangaza ameambiwa lazima alipie ada za miaka yote aliyokuwa nje ya Nchi. π³
Je huu sio upigaji? π₯±
OkaySasa alitoa taarifa alipoondoka au aliondoka tu kienyeji, inabidi alipe na penalt zote
Ukindoa swala la wivu je nini afanye?Wamemuonea wivu na chuki mbaya
Hio ni dhulma wanataka kumfanyia
Ningekua mimi yeye abadilishe uraia aondoke tu kuna fursa nyingi sana kwa profeshen yake huko nje ya nchi.
= usajili.Huyu Ni Mdogo wangu Mtoto wa Mjomba.
Alikiwa Injinia wa ujenzi akifanya kazi Nchini Kenya kwa miaka 10 sasa.
Akiwa huko alikuwa akilipia ada ya usajiri na leseni kama kawaida.
Sasa amerudi Nchini miezi miwili iliyopita. Kwa kuwa amepata kazi shirika lingine la kimataifa la Ujenzi ametakiwa kurenew leseni.
Cha kushangaza ameambiwa lazima alipie ada za miaka yote aliyokuwa nje ya Nchi.
Je ina maana walitaka awe analipa Kenya na huku Tanzania?
Je huu sio upigaji?
ni muhimu aketi chini na wahusika, wakubaliane namna ya kulipa na aendelee na kazi vinginevyo kutafuta huruma kutamchelewesha na kuibua vitu vingine ambavyo inaweza kua ni kuharibu kazi ambayo tayari ameipata πHuyu Ni Mdogo wangu Mtoto wa Mjomba.
Alikiwa Injinia wa ujenzi akifanya kazi Nchini Kenya kwa miaka 10 sasa.
Akiwa huko alikuwa akilipia ada ya usajiri na leseni kama kawaida.
Sasa amerudi Nchini miezi miwili iliyopita. Kwa kuwa amepata kazi shirika lingine la kimataifa la Ujenzi ametakiwa kurenew leseni.
Cha kushangaza ameambiwa lazima alipie ada za miaka yote aliyokuwa nje ya Nchi.
Je ina maana walitaka awe analipa Kenya na huku Tanzania?
Je huu sio upigaji?
Huu ni ushauri mzuri.....hata kwa kulipa kidogo kidogoni muhimu aketi chini na wahusika, wakubaliane namna ya kulipa na aendelee na kazi vinginevyo kutafuta huruma kutamchelewesha na kuibua vitu vingine ambavyo inaweza kua ni kuharibu kazi ambayo tayari ameipata π
Ndiyo= usajili.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
AkalipeHuyu Ni Mdogo wangu Mtoto wa Mjomba.
Alikiwa Injinia wa ujenzi akifanya kazi Nchini Kenya kwa miaka 10 sasa.
Akiwa huko alikuwa akilipia ada ya usajiri na leseni kama kawaida.
Sasa amerudi Nchini miezi miwili iliyopita. Kwa kuwa amepata kazi shirika lingine la kimataifa la Ujenzi ametakiwa kurenew leseni.
Cha kushangaza ameambiwa lazima alipie ada za miaka yote aliyokuwa nje ya Nchi.
Je ina maana walitaka awe analipa Kenya na huku Tanzania?
Je huu sio upigaji?
Huyu Ni Mdogo wangu Mtoto wa Mjomba.

Lakini alikuwa analipia huko alikokuwa anapractise.....ndio maana inaitwa ni Practising LicenseNaona ni sawa kabisa kwani kila leseni inautaratibu wake
Kwa kuwa huyu muheshimiwa alipata dili la kulipa nje ya nchi kwa kutumia leseni ya hapa nyumbani, tatizo lipo wapi kuilipia, au niseme; alitakiwa awe anailipia kila mwaka ili iendelee kuwa hai...
Sawa tu na wanasheria wanavyo lipia leseni zao nk nk nk
Then aje kufanya tz?π πArudi Kenya aka-renew
Kwahiyo ni kama TIN namba ya TRAHilo injinia analijua vizuri. Alichofanya ni "default" hivyo anapaswa kulipia. Kipindi alivyokua nje alitakiwa kusimamisha leseni yake na sio kuiacha tu!
Unaangalia penye unafuuThen aje kufanya tz?π π
Haikubaliki lazima u renew pale unapofanyia kaziUnaangalia penye unafuu