holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
jibu zuri,unataka kunambia yanga wangemsajili mmoja kati ya kapombe na zimbwe wakamuacha mwenda?Zimbwe jr
Kapombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jibu zuri,unataka kunambia yanga wangemsajili mmoja kati ya kapombe na zimbwe wakamuacha mwenda?Zimbwe jr
Kapombe
Al Ahly wametafuta sare kwa Orlando ikiwa na wachezaji wengi wa ndani hizi mambo za kuamini wachezaji wa Nje na wanakuja na viwango vya kawaida sio sawa huyu Mwenda ni beki mzuri akipata nafasi na akajiamini basi kinachowaferisha Watanzania wengi ni kutokujiamini na kutowaamini wengine basi..
Ni Kibababerenge.Hivi huwa ni kibabage au kiberenge
Ni Kibababerenge.
P
Peleka CV yako uwe coach
Ok , una uhuru wa kucheka pia,upo timu gani unayocheza?Nilikuwa naangalia mazoezi ya Yanga jana au juzi, kuna wachezaji walikuwa wamekaa pembeni wanajiandaa. Aisee nilicheka sana.
Wachezaji kama 6 hivi wamepangana halafu wote ni kimo cha Ali Kamwe.
Wanyamwezi wa TaboraOk , una uhuru wa kucheka pia,upo timu gani unayocheza?